Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,770
- 12,979
- Thread starter
- #21
😳😳😳😳Degree 80,000- Diploma 75,000/- Kamishna Mkuu 300000/-
Mna maendeleo gani labda baada ya kupiga bapaKuna mzee tulimvamia mitaa ya temeke alikuwa tiaraeii ndani alikuwa na samani za gharama na alikuwa na kiasi kikubwa cha hela ndani tulivyompiga bapa za kutosha aliamua kuzitoa
So mtoa mada hawa watu hela wanayo kweli
Mfano:-Kabla ya mifumo wizi na upigaji uliwapa pesa nyingi Sana nilikuwa na brother 7 na mdingi miaka kushuka 99 pesa zilikuwa za kujichotea.
Wote walishatoka huko.
Leo mifumo inabana ukifosi utaishia jela dogo.
Kama ni binti mwambie akupende tu bila hata kumwambia umeomba ajira huko.
Tapata wapi mchongo wa kuchimba maganzo nina vifaa vya kisasa vya kuchimba.TRA Ni Kama Maganzo Shinyanga Ukichimba Choo Dhahabu Hiyo
Mbona wanashindia Mihogo na maji mchana au hamuukienda posta tpc HQ, ile ofisi ya TRA ndogo pale wote wanavitambi
wananukia 'wekundu wa msimbazi' tu mda wote
akipiga chafya inamwagika 'shuka la mmasai'
wameyapatia sana maisha kmmmmk
Ni Kweli Maganzo, Huko Unatoka FasterTapata wapi mchongo wa kuchimba maganzo nina vifaa vya kisasa vya kuchimba.
Najua shortcut ya life ni kwenye mawe tu kwingine ni kuchelewa maisha.
Inategemea na nani yupo kwenye nafasi nzuri ya kuiba hela.Mfano:-
katika ya mhasibu wa halmashauri na TRA mwenye mawe yanayotokana na Kazi ni yupi?
#YNWA
Ndio tunahangaika na ajiraMna maendeleo gani labda baada ya kupiga bapa
Ngoja tukomae kujaribu TRANSFER..acha TRA iitwe TRA, hapo utakuta mtu ana experience ya miaka 10+ ila anaomba transfer aingie hapo
hizi kazi fresh graduates watasubiri sana, maana wengi sana toka private na serikali watataka kuziwania sababu ya maslahi mapana yaliyopo humo.
Una vifaa!Tapata wapi mchongo wa kuchimba maganzo nina vifaa vya kisasa vya kuchimba.
Najua shortcut ya life ni kwenye mawe tu kwingine ni kuchelewa maisha.
Nazungumzia mshahara mkubwaa...Hakuna mahali dunia serikali imewatajirisha watumishi wake labda uwe mwizi na mla rushwa...
Huna mikakati binafsi sahau kutoboa kimaisha...
Transfer ni uhamisho wa watumishi kizungu tunasema TRANSFER.Naomba ufahamu mkuu, transfer unafanyaje?