Hivi ni kweli huu uchaguzi mdogo unaakisi Uchaguzi mkuu 2020?

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
250
Vyama pinzani vifanye nini kumuangusha ccm maana hali ni mbaya kwao wote wamefumba midomo now.
 

KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,981
2,000
Lisu alisema ni kipimo sasaivi wanaanza kupotezana waache waendelee kulala tulisha sema sana wasajili chama kimoja nasio kuunganisha vyama hawasikii siipendi sisiemu lakini nikidikilia upinzani nnaishiwa pozi wapinzani mnatuangusha sana acha mshindwe tu maana hakuna namna sasa tumechoka
 
Top Bottom