Hivi ni kweli hii sababu inatosha kuvunja uchumba ama nimeingizwa cha kike?

Mkuu, natofautiana na wewe; Mungu 1 hawezi kuwaambia Wakristo "usiue" halafu huyo huyo awaambie waislamu "ueni ------". Mungu 1 hawezi kuwaambia wengine sameheeni wanaowaudhi halafu huyo huyo awaambie wengine lipizeni kisasi! Siamini na sita amini kama mungu wa waislam ndio Mungu wa Wakristo.
Aisee vp huko sayari ya mars kunafaa kuishi nami nije.
 
nahis hiyo kitu ni zaid ya dini!

Hapana mkuu mimi mwenyewe nilikuwa natoka na binti mmoja wa kiislamu nilipokuwa nikimueleza maswala ya ndoa na abadili Dini hakuwa tayari sijui huwa wanaAmbiwa nini na hao maUstadhi wao maana hakuwa mchoyo ila ukija kugusia tu kuhusu kubadili Dini aaah ni kosa la jinai
 
Mkuu,makosa umeyafanya wewe.kwanza kwa kutochagua mtu mnaendana.cha msingi kama una mpenda kweli kila mtu angebaki na dini yake aft mnafunga ndoa ya kiselekaki.
Kingine,mtoto wako wa kwanza anapewa jina na baba,wewe mwanaume wa wapi unamruhusu mwanamke ndo anampa mtoto jina tena wa kwanza.
 
My dear pole sana... Hii issue inasumbua sana haswa baadae katika ndoa... I think for now shukuru Mungu Kuwa wote mmeyajua mapema kuhusu Dini kuwa haiwezekani kuvunja imani zenu before hamjafunga ndoa ..Kwa maana now una choice ya Ku make. Either uendelee nae kwa kila MTU na Dini yake or uachane nae usubiri wako utakayepangiwa na Mungu ambaye mtakuwa mnaabudu na kuamini the same .. Binafsi nataka tuu kukwambia from my experience inasumbua sana kuolewa/ kuoa Imani tofauti haswa likija swala LA watoto. Sasa basi since umeshazaa nae na yeye ameshasema ataolewa na MTU Wa dini yake ..just now focus on your son/ daughter . Na ushajua Kuwa kipato chake ni kidogo jaribu kukaa nae chini muongelee kuhusu malezi ya mtoto kama itawezekana mchukue mwanao , ongea na wazazi wako ( kama wako hai) waombe waje kwako ukae nao ili wakusaidie kulea mwanao vizuri. Na hii itakusaidia kumkuza mwanao misingi bora ya Imani yako wewe...

Ndugu kingine remember you are the father of that little one .. Kwa familia niliyotoka Mimi nimefundishwa Kuwa watoto siku zote ni Wa baba ingawaje sisi tunazaa na kulea . Kwa maana hiyo Baba ndio mwenye mamlaka ya kila kitu including kutoa jina( unless kama mkiwa ndoani baba MTU ameruhusu uchague wewe jina LA mtoto as Mama MTU ) dear na kulea kimatuzo . Sasa ilikuwaje my Kaka ukaruhusu mama MTU atoe jina tena LA Kiislam ..( don't take me wrong . I don't hate it .) . But I'm surprise where did you play a part as a Father and real man? ( sikutukani nisamehe). Please don't be so soft when it comes on misingi ya mtoto .. Usikubali kila kitu unachoambiwa na mwanamke dear.. Sisi baadhi ya wanawake wanajua to play hard to get what they want .. na baadae ikawa madhara kwako , kwa mtoto na familia yako. Iam telling you act like a man and Father now.. otherwise the next thing atakuja kukuambia mtoto aende Madrasah nawe utakubali, kinachofuata atakuambia nataka mtoto asikae kwako maana sitaki awe mkristo or Makafiri ( ndivyo tunavyoitwa na waislamu).. je utafanyaje.. ? So think hard and well for the future of your baby before its too late .. Pole sana ..Thanks..
 
Hapana mkuu mimi mwenyewe nilikuwa natoka na binti mmoja wa kiislamu nilipokuwa nikimueleza maswala ya ndoa na abadili Dini hakuwa tayari sijui huwa wanaAmbiwa nini na hao maUstadhi wao maana hakuwa mchoyo ila ukija kugusia tu kuhusu kubadili Dini aaah ni kosa la jinai

Binafsi dear nilipokuwa muislam na wala sidanganyi nilikuwa naambiwa Kuwa ukristo ni ukafiri kwa maana wakristo wanaabudu sanamu na nikifa nitaenda straight to Hell .. na pia nilishawahi kuambiwa Kuwa nikiwa mkristo basi nitafute familia nyingine kwa maana hawatanijua tena na laana watanipa . Na wakinipa laana basi hata Allah atanipa laana na nitaanza kuokota makopo barabarani mpaka niingie kaburini na mengine mengi tuu niliambiwa . Binafsi sikubadilishwa dini na mwanamme ni wito na mguso nilioupata. Sasa huenda hapo mabinti wanaambiwa hivyo na zaidi ya hayo so wanaogopa . Na chunguza sana asilimia kubwa waliobadili kuja ukristo most of them wamepewa maneno ya laana na kukataliwa na familia zao including wazazi wao . Ni few of them ambao hawakupitia kwa moto kama huo . So ni hivyo. Thanks..
 
Mie sizan kama waislam Mungu wao n tofaut na wakristo.. sasa cjui hiz sababu za din zinatoka wap ikiwa kila pande inamwabudu Mungu mmoja, Acha kuleta udin iwe sababu ya mtoto kukusa malezi yako hata huyo Mungu mnae mgawa kwa mafungu ahafiki ilo swala

Mungu wa waislam ni allah!na Mungu wa wakristo ni JEHOVA!hawako sawa na ni upumbavu kulazimisha kwamba Mungu wa waislam ni Mungu wa wakristo!suala la msingi hapa ni kuachq tabia ya kujiingiza kwenye mahusiano ambayo hupelekea kuzaa mtoto/watoto kabla ya ndoa!USIZINI.....!iwe fundisho kwa watu wengine
 
My dear pole sana... Hii issue inasumbua sana haswa baadae katika ndoa... I think for now shukuru Mungu Kuwa wote mmeyajua mapema kuhusu Dini kuwa haiwezekani kuvunja imani zenu before hamjafunga ndoa ..Kwa maana now una choice ya Ku make. Either uendelee nae kwa kila MTU na Dini yake or uachane nae usubiri wako utakayepangiwa na Mungu ambaye mtakuwa mnaabudu na kuamini the same .. Binafsi nataka tuu kukwambia from my experience inasumbua sana kuolewa/ kuoa Imani tofauti haswa likija swala LA watoto. Sasa basi since umeshazaa nae na yeye ameshasema ataolewa na MTU Wa dini yake ..just now focus on your son/ daughter . Na ushajua Kuwa kipato chake ni kidogo jaribu kukaa nae chini muongelee kuhusu malezi ya mtoto kama itawezekana mchukue mwanao , ongea na wazazi wako ( kama wako hai) waombe waje kwako ukae nao ili wakusaidie kulea mwanao vizuri. Na hii itakusaidia kumkuza mwanao misingi bora ya Imani yako wewe...

Ndugu kingine remember you are the father of that little one .. Kwa familia niliyotoka Mimi nimefundishwa Kuwa watoto siku zote ni Wa baba ingawaje sisi tunazaa na kulea . Kwa maana hiyo Baba ndio mwenye mamlaka ya kila kitu including kutoa jina( unless kama mkiwa ndoani baba MTU ameruhusu uchague wewe jina LA mtoto as Mama MTU ) dear na kulea kimatuzo . Sasa ilikuwaje my Kaka ukaruhusu mama MTU atoe jina tena LA Kiislam ..( don't take me wrong . I don't hate it .) . But I'm surprise where did you play a part as a Father and real man? ( sikutukani nisamehe). Please don't be so soft when it comes on misingi ya mtoto .. Usikubali kila kitu unachoambiwa na mwanamke dear.. Sisi baadhi ya wanawake wanajua to play hard to get what they want .. na baadae ikawa madhara kwako , kwa mtoto na familia yako. Iam telling you act like a man and Father now.. otherwise the next thing atakuja kukuambia mtoto aende Madrasah nawe utakubali, kinachofuata atakuambia nataka mtoto asikae kwako maana sitaki awe mkristo or Makafiri ( ndivyo tunavyoitwa na waislamu).. je utafanyaje.. ? So think hard and well for the future of your baby before its too late .. Pole sana ..Thanks..
Daa! Ushauri mzuri sana my dear mungu akubabaliki sana nimependa uneutral wako ktk hili ila kuhusu jina la mtt ulitokea mvutano mkali sana kati yng na familia yake ikifikia hatua nikawaachia waite jina
 
Wewe kubadili dini upo tayari?
Siwezi badili dini na hilo analijua tokea mwanzo na kumbuka mm ndiye naoa ili aje kuishi au kushirikiana na familia yng ya kikristo km zilivyo tamaduni za kiafrika kwamba mwanamke atamfuata mwanamme ili wakaishi huko na sio mwanamme kumfuata mwanamke
 
Kama mungu ni mmoja hzo tofauti sasa n za nini imani yako ndo itakuponya pia na sio tofauti za dinii..
 
Mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kukubali kuuacha mwanga akaenda kufuata kiza!Hayo ni matunda ya faida alioyoipata toka kwenye kitabu kitakatifu ambacho toka kishushwe hakijawahi kufanyiwa editing wala hakina agano jipya wala la kale
Hapana mkuu mimi mwenyewe nilikuwa natoka na binti mmoja wa kiislamu nilipokuwa nikimueleza maswala ya ndoa na abadili Dini hakuwa tayari sijui huwa wanaAmbiwa nini na hao maUstadhi wao maana hakuwa mchoyo ila ukija kugusia tu kuhusu kubadili Dini aaah ni kosa la jinai
 
Daa! Ushauri mzuri sana my dear mungu akubabaliki sana nimependa uneutral wako ktk hili ila kuhusu jina la mtt ulitokea mvutano mkali sana kati yng na familia yake ikifikia hatua nikawaachia waite jina

Dear it is not too late to fix it.. Usiogope wanakuaga very stubborn na ukali mwingi hao watu .. But you piga goti chini Fast and pray God akupiganie na ufanye maamuzi mema for the sake of your baby.. Remember huyo ni first born .. in biblical ni lango hilo lango likikosewa kutuzwa basi itasababisha na wanaofuata pia wafuate mkondo.. God forbid .. Just take care okay .. Thanks..
 
Thanks kwa michango yenu coz hata mm sijataka kutumia nguvu nyingi kumshawishi kumuoa yote namwachia Mungu ila kibaya zaidi ni kwamba kipato chake sio cha uhakika kujisimamia hivyo anasema akipata wa dini yake ataolewa.My kid is too young ningemchukua kwakweli

Mchukue mwanao. Kwani ukimwoa mke afe utamtupa mtoto?
 
Back
Top Bottom