Hivi ni kweli HESLB wamepunguza boom quarter 4 hii semester

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,393
5,518
Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
 
Wanafunzi wamepewa kama 370..k na wamesema hii imeanza last year semester kama hii. Nguvu ya kugoma hawana maana hata hali zao pia ni tete
 
Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
Aisee wengine huku bado hata sms ya crdb.Ndo nasikia eti wanakata aisee!
 
Back
Top Bottom