Hivi ni kweli gari aina subaru zinakawaida ya kupungua oil

Hilo tatizo liko kwa Noah SR 4O 3s engine
Na IAZ engine
Hata kama itoke japani leo lazima ipungue oil
 
wadau wanasema subaru impreza ikifika tu 120,000 kuendelea inaaza kula oil kila baada ya kutembea km 20000 or 3000 na hii inanzia gari za 2010 kwenda chini
kweli na wewe umenunua Subaru Hongera sana basi hapa JF wote mna magari, mpaka Noah zimo service unaiacha mpaka kilomita 20000 (elfu ishirini)
 
Naona subaru zina sifa ya kuharibika head gasket. Nahisi ikiwa unaendesha kisubaru subaru utakutana na hayo matatizo ya blown head gasket, ila ukiendesha kwa utaratibu unaweza kuepukana na hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom