Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Salaam Wapenzi wangu,

Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu.

1623219143703.png

1623218462091.png

Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa kwenye maji. Wana rangi nyeusi, wanaogelea sana, Wanaitwa nderandera au wachora ramani au Wachora barua [Siwafahamu jina lakini la kitaalam wana rangi kama nyeusi hivi]. Ila wanaogelea kwa speed, sio rahisi kumkamata.

Wanawake wamekuwa wakiwatumia kwa matumizi ya kupendezesha au kukuza Matiti.

Asilimia kubwa ya wakina Dada wameng'atwa na hawa wadudu ili matiti yakue. Mimi nata niwatafute niwafuge nianze kuwauza.

Je, Ntatengeneza faida?

Kwa wale waliowakamata na kuwalazimisha wawang;ate chuchuchu, je ulifanikiwa kukuza matiti?

Naomba kujua kama fukufuku wanakuza matiti.

Fukufuku usipomuimbia hatoki. Lazima uwaimbie wimbo wake...Fukufuku toka baba yako kaja kakuletea Mkate... Wakati wa kumtoa shimoni unatakiwa uwe umekaa, ukiinama au kuchuchumaa huwezi mpata.

1623218710942.png

1623218586534.png

1623219504690.png

Ndio maana saratani ya matiti inaongezeka sababu ya dhana za kipumbavu na potofu kama hizi.
 
Inawezekana anafanya kazi mdudu akikung'ata unapata infection, bacteria na parasite wanazaliana unapata uvimbe, na matiti yanakuwa makubwa🤣🤸🐒
 
Back
Top Bottom