Hodi humu ndani?
Wakuu kuna huyu member anaitwa Faiza Fox mdau humu amesema huyu mwenzetu utoto wake amecheza na kina Maria Nyerere, ni kweli?
Kama ni kweli, nashauri watu kama kina Faiza Fox wawekewe nyota ili tuae tunawapa heshima zao maana kumbe unaweza ukawa unabishana na bibi yako humu ndani ukabata laana bure.
Uzi tayari!