Hivi ni Kweli Faiza Fox amecheza na Maria Nyerere?

Bob Malik

Senior Member
Oct 1, 2019
121
404
Hodi humu ndani?
Wakuu kuna huyu member anaitwa Faiza Fox mdau humu amesema huyu mwenzetu utoto wake amecheza na kina Maria Nyerere, ni kweli?

Kama ni kweli, nashauri watu kama kina Faiza Fox wawekewe nyota ili tuae tunawapa heshima zao maana kumbe unaweza ukawa unabishana na bibi yako humu ndani ukabata laana bure.

Uzi tayari!
 
Inawezekana uzi wako unatoka hapa
20210411_165312.jpg
 
Hodi humu ndani?
Wakuu kuna huyu member anaitwa Faiza Fox mdau humu amesema huyu mwenzetu utoto wake amecheza na kina Maria Nyerere, ni kweli?

Kama ni kweli, nashauri watu kama kina Faiza Fox wawekewe nyota ili tuae tunawapa heshima zao maana kumbe unaweza ukawa unabishana na bibi yako humu ndani ukabata laana bure.

Uzi tayari!
Cc mshana Jr Weka neno hapo juu ya huyo mtalaka wako
 
Hodi humu ndani?
Wakuu kuna huyu member anaitwa Faiza Fox mdau humu amesema huyu mwenzetu utoto wake amecheza na kina Maria Nyerere, ni kweli?

Kama ni kweli, nashauri watu kama kina Faiza Fox wawekewe nyota ili tuae tunawapa heshima zao maana kumbe unaweza ukawa unabishana na bibi yako humu ndani ukabata laana bure.

Uzi tayari!
Walikuwa wanapenda kucheza watatu FaizaFoxy Mama Maria na Mohamed Said

Faiza alikuwa mchafuchafu sana na mmbea, Mohamed Said alikuwa mwongo tangu mdogo, Maria nyerere alikuwa mkimya na alionewa na wenzie

Faiza Nguo zilifanana na vumbi
 
Back
Top Bottom