PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,821
Kuuliza si ujinga waungwana kuna watu nimesikia wakisema computer za apple haziruhusu virus yoyote ku attack its os na ni moja ya sababu inayosababisha computer hizo ziuzwe bei kubwa..watumiaji wa hizi pc ningependa kupata jibu toka kwenu ni kweli hizo pc haziruhusu virus kuingia kwenye mfumo wake??...