Hivi ni kweli binadam akikatwa reproductive organs anakufa?

issa ramadhani

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,319
255
Hii ni theory ambayo ipo mitaani kuwa binadam akikatwa dushelele au papuchi ana rest in peace.wadau ni kweli or is just street theory tu?
 
Hii ni theory ambayo ipo mitaani kuwa binadam akikatwa dushelele au papuchi ana rest in peace.wadau ni kweli or is just street theory tu?

Hivyo Vitu Viwili Ndiyo Midfield Ya Mwili Wako Na Kama Havipo au Vikikosekana Lazima Tu Timu Yako Itafungwa ( Namaanisha UTAKUFA Tu ).
 
Masualr mengine yanaboa jibu rahisi kwanini uhangaike??? Chukua kisu ujikate majibu utayapata bila kuja humu jf.
 
Inategemea umekatwaje na damu kiasi gani zimevuja. Kuondokewa na kikong'oteo haimaanishi mifumo mingine ya mwili pia inakoma kufanya kazi maana kile ni kiungo tu (just an organ) kama ilivyo pua au masikio
 
Huwezi kufa.. naona habari hua huangalii wala kusomasoma kidogo coz hata ile ya South Africa hukuisikia mwanaume kafanyiwa operation kaunganishiwa mchongo wa mwanaume mwenzake? Na kwa mwanamke kuna tundu pale kwa hiyo huwezi kuongelea kukata uwazi, labda kuongelea kukata ya falopia ambayo inapitisha mayai kuja kwenye mfuko wa uzazi, na hilo ni jambo la kawaida coz wanawake wengi tu hua wanakata tu kama njia mojawapo ya kufunga kizazi.

Kwa mwanaume ikikatika utaishi tu, tatizo ni kama kutakua na matatizo kuanzia kwenye figo hadi njia ya mkojo kwa sababu mkojo ni muhimu utoke, ila kama njia yote ipo bila shida kutakua hamna tatizo lolote, ni function tu inaweza ikabadilika, kama raha itastop kule chini means kuna kiungo kingine kimechukua hiyo nafasi mfano ni kama watu walioparalyze chini kule wanaweza pata raha kupitia kuchezewa masikio au shingo, hali hiyohiyo inaweza kutokea.
 
Kuna jamaa inasadikika ni kwa sababu ya kupoteza furushi lamadawa ya kulevya

Wenzake wkaamua kumkata na alipigwa picha zikasambaa ila ni kama alisavaivu na anaishi hata leo. So inategemea bleeding a kiasi gani kimekatwa

Ukija na msamiati wa kunyofoa hapo naweza kusema mtu anweza kufariki manke ukinyofolewa ni kuanzia kende penis na maeneo yanayo zunguka sasa hapo kuna kuishi tena?
 
Back
Top Bottom