Hivi ni kweli au?

kadagala1

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
5,940
6,210
4469c8e0f8d7908759bcea5397eb4dbc.jpg
 
Si waagizie wanaume kutoka mataifa mengine? Hizo ndoa za wake wawili kwa nchi yenye wakristo wengi itakuwaje?
 
Duniani kote wanaume ni wachache na wanawake ni wengi mno,hata hapa kwetu tu idadi ya mashost inazidi kuongezeka kila uchwao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom