Hivi ni kweli 80% ya wanawake walio kwenye ndoa Wanabakwa na Waume zao

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Katika matembezi yangu ya weekend nilikwenda sehemu moja kwa mapumziko kwenye ufukwe wa bahari.

Wakati nimekaa pembeni yangu walikuwepo kina dada kama watano wakipiga story zao pembeni kuna watoto wao wanacheza.

Kwenye mazungumzo yao wakawa wanaongelea mambo ya mahusiano, mimi kusikia hivyo nikategesha vizuri masikio yangu ili kudaka data.
Dada mmoja akasema mume wangu ananikera sana yaani akitaka kufanya tendo la ndoa ananirukia tu akimaliza zake anageukia pembeni analala zake mpaka asubuhi.

Mwingine nae akasema yaani kama baba Paul, yupo hivyo hiyo ananiboa kweli hiyo tabia.
Mwingine nae akasema siku moja namwambia Mume wangu anichezee mwili wangu anikande kande akajibu sina muda, basi wote wakacheka huku wakiniangalia kama nawafuatilia mazungumzo yao, mimi nikajifanya busy na issue zangu nasoma gazeti langu.
Dada mmoja akasema hata kazini pale benki, wenzangu wanalalamika kweli wanabakwa na Waume zao kila siku, yaani 80% ya Wanawake waliopo kwenye ndoa wanabakwa na Waume zao wakacheka tena.
Wadau hivi ni kweli tujadili..
 
ebo kweli? Duh dah sio mchezo, inabidi wakina dada wanaobakwa na waume zao waanzishe kachama kao kakuwatetea maana sasahivi ni enzi za haki sawa bana wao wanaenjoi wenyewe ati
 
Tatzo wakitoka kuangalia playboy films wanataka na wao wafanyiwe hayo,sie ni waafrika kidogo kidogo ndo mtindo mkianza kuwaza michezo ya playboy hakika mtazivunja ndoano na majuto ni kitukuu
 
..Kuna lile tangazo la sema usikike.. Kama mume wako anakurukia kwa nini usiseme ukasikika... Kama unakubali kurukiwa na kukaa kimya umependa mwenyewe na wala siyo kubakwa...

Sema usikike!
 
Kwa kweli ni vema akina baba tuwape haki zao akina mama. Ila Mkuu chatu dume umenikwaza kidogo kutaja baba Paul, sijui ni mimi niliyekuwa nazungumziwa na mama Paul au vipi, maana nami ni Baba Paul! Itabidi nimuweke kibano anipe ukweli kama nambaka kila siku na hajawahi kuniambia.
 
mkuu mwanamke kwenye ndoa habakwi.ukisema anabakwa sasa hapo si kesi.labda useme hawaandaliwi vizuri
hapo kuna mawili anaweza kusema hapati conjugal right yani hapigwi kazi vizuri to the fulest satisfaction na hapo anaweza kwenda kulalamika katika hilo.ila asiseme anabakwa.
huyo baba paul inaonekana umri umeenda sasa mama paul nae akumbuke kua enzi za ujana wakati ule wa boyfriend ilikuaje.sasa kwa sasa ni manfriend obvious jamaa akishajipigia kimoja choka mbaya.mamabo mengi yanatosababisha katika hili wanaume mnajua vizuri
 
Ki kweli kuna hili tatizo la wanaume kutowaandaa wenzi wao katika ndoa! Hili linaweza kuwa linasababishwa na mazoea, ubusy wa wa wanandoa hususani wanaume n.k Tatizo hili linaweza kupatiwa ufumbuzi kwa wanawake wenyewe kuwa wawazi kwa waume, ni imani yangu endapo mwanamke akimwambia mwenzi wake mume nashukuru lakini mwenzako umeniacha tafadhali naomba ulifanyie kazi hilo. Wanaume wana tendency ya kutaka kuwaridhisha wenzi wao kwa hofu ya kuonekana hawajui na kuogopa kudharauliwa, basi jamaa atajitahidi kurepeat ambapo katika hilo unaweza kujikuta umefika mwisho wa lami.
 
Mzee wa Rula, maneno yako ni ya ujenzi
 
Kwa kweli ni vema akina baba tuwape haki zao akina mama. Ila Mkuu chatu dume umenikwaza kidogo kutaja baba Paul, sijui ni mimi niliyekuwa nazungumziwa na mama Paul au vipi, maana nami ni Baba Paul! Itabidi nimuweke kibano anipe ukweli kama nambaka kila siku na hajawahi kuniambia.

Mkuu wangu, kwani mama Paul, siku ya jumapili alikwenda South Beach Kigamboni?
 
Kama akina dada wengi wangekuwa wawazi wasingebakwa, kwa kifupi huwa hawapendi kusema kuwa wameridhika au vipi. Ila ni kweli kabisa huwa wengi wao huwa hawafikishwi kwenye kilele cha mlima, hata kama sijaoa ila kwa hili lina ukweli kabisa ndani ya maisha yetu!
 
kuna ukweli....na wanasema wataaalamu ndo za hivyo hata sex inakuwa sio sana

ukitaka kubadili hali hiyo mwambie mkeo yeye ndio sterling kitandani...akuongoze yeye hatua kwa hatua..

mwache yeye awe in charge.....utashangaaa.....lol
 
Mhhhh! Haya banaaa! :)....isije tu baadhi wakaugomea huo usterling watakaopewa.
 
Mhhhh! Haya banaaa! :)....isije tu baadhi wakaugomea huo usterling watakaopewa.

aah wapi...we mwambie yeye atoe maelekezo tu mnaanza vipi ,mnamaliza vipi....
utashangaaa,hasa kwenye fore play....ukimwambia foreplay ni mpaka aseme yes for next step utajua tu next time...

mruhusu akuzuie for next step kama anaona foreplay bado haijamkolea....

ingawa ni kweli pia womens hate to tell their man,what to do in bed.....lakini enzi hizi zamalalamiko
bora akuambie tu lol
 
hili tatizo kweli lipo maana sie wanaume maa nyingi tunakuwa kama tunalazimisha mapenzi kwani suala la maandalizi wanawake wengi wanategemea kuandaliwa na waume / wanaume wakati wao kama wao kiakili hawajiandai na pia hawatoi ushirikiano. na kumbuka mwanaume kama ngoma imeshakaa wima huna cha kusubiri au kubembeleza ushirikiano unapanda mzigo unamaliza na yeye anabaki njiani
 
Back
Top Bottom