Hivi ni kwanini?

mickytop46

Member
Nov 10, 2010
39
6
Ni kwanini kwenye mahusiano wanawake ndo wanaongoza kusababisha mume kukosana na ndugu zake,wazazi , rafiki au mume kutowajali tena ndugu zake na wazazi wake pindi Wanapoowa au hta kabla ya kuowana.
 
Ni kwanini kwenye mahusiano wanawake ndo wanaongoza kusababisha mume kukosana na ndugu zake,wazazi , rafiki au mume kutowajali tena ndugu zake na wazazi wake pindi Wanapoowa au hta kabla ya kuowana.

hili c tatizo la wanawake ila ni wanaume wenyewe, mwanaume kadri ananyokua m2 mzima hujifikiria yeye na vitu vyake kuliko ndugu au wazazi wake, lakini mtoto wa kike always hufikiria kwao japo after marriage anatakiwa awaache ndugu na jamaa zake ana aende kwa mumewe, na hili hata mitume waliwahi kulizungumzia, kwa wale waislaam kuna hadith moja ya Mtume Muhhamad(S.A.W) inasema kuwa kwa mwanaume mlango wa kuingilia mbinguni upo miguuni kwa mama yake- nikiwa nimekosea kusashihishwa ruksa
 
Mimi naona ni wote tu wanasababisha hayo matatizo na sio wanawake peke yao. Kutojiamini kunaweza kumfanya mwanaume akasikiliza kila kitu anachoambiwa na mkewe, hata kuwasaidia ndugu na jamaa zake......kisa eti mapenzi. Lakini watu kama mnapenda sana, ndugu na marafiki ni sehemu ya familia.
 
Inategemea
Si wote wanaokosa
Wengine hupatana sanaa mpaka unashangaa
 
wanawake si chanzo
standng ya mwanaume ndo chanzo
kichwa pupuru mambo pupuru...kichwa imara mambo yoooooooooooote yanakuwa imara
 
wanawake si chanzo
standng ya mwanaume ndo chanzo
kichwa pupuru mambo pupuru...kichwa imara mambo yoooooooooooote yanakuwa imara

we mtoto leo huendi lunch, ntakununia ooooohhhhhoooo!!!!!!!
 
wewe nini kimekufanya useme chanzo cha ugomvi ni mwanamke?
nakubaliana nawe kuwa wanaume wengi wakishaoa huwa maelewano mazuri na ndugu zao yanapungua, ila sidhani kama tatizo huwa ni mke.
nakumbuka kuna kaka yetu alikuwa bonge la mshikaji kwetu (kabla hajaoa), yaani akitokea tu kila mtu anatabasamu maana unajua shida zako zoootee zinakaribia kuisha. alipooa kuna vitu vikaanza kupungua, walipopata mtoto ndo kabisaaa, na kuna kipindi alikuwa mkali kweli ukitokea na shida yako. sasa karibu kila mtu akawa anamchukia wifi (siyo kaka), eti ndo anamfanya awe mkali wetu. ila mimi nilikuwa namwonea huruma sana wifi, siku nikamwambia kaka kuwa huku wenzako hawampendi mkeo, anakufundisha usitujali. kaka akatukalisha kikao, kuanzia mama mpaka wote, akatuambia kuwa kabla hajaoa hakuwa na majukumu ya kifamilia ndo maana aliweza kutufanyia kila tutakalo, ila sasa ana majukumu mengi; mke, mtoto, wakwe......... so tusimlaumu mkewe pale anaposhindwa kutufanyia baadhi ya vitu
 
ahhh haha haloooooooooooo naona wanipa altimatam ya kinuno....
usninue jaman mimi ntakufa....
nakusubir untoe lanch....

Haya twende kwa lunch dia,halafu mambo ya kuja na shoga yako mi sipendi!mi nimekualika wewe tu.............
 
Back
Top Bottom