hivi ni kwanini

Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
7
hivi ni kwanini wanawake ni rahisi kukubali msamaha wanapokosewa kuliko wanaume?
 
ni wanawake na wana mioyo myepesi sana kusamehe
mpaka dume asaheme ni balaa
 
kwa USONI ni kama wanasamehe ila wanavisasi vikali mno....
mume mmoja alimuuliza mkewe mimi nikikasirika nina kupiga na wewe je akasema huwa naoshea mswaki wako chooni......so watch care usiwaudhi sana wanawake
 
Back
Top Bottom