Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
hasa zaidi ukisikiliza nyimbo utasikia. wanga watasema watachoka sisi tunasonga mbele, mara waache waseme, mara utasikia watakoma na roho zao, taarabu ndo usiseme! pia kwenye nyumba za kupanga/na uswahilini watu wanakua na mashaka kwamba wengine hawautakii mema uhusiano wao, utasikia ntadumu nae hata mkisema. kwanini watu wanakuwa hivi. inafika kipindi mtu anafanya mambo sio kwa kupenda bali ili awakoshe hao anaoona wanamuonea wivu. matatizo yakiwapata wanashindwa kusolve kwa kuamini eti vizabizabina ndo wamesababisha. hivi kuna ukweli katika hili? au ni mambo ya kujishuku. nini uzoefu wako katika hili?