Hivi ni kwanini Wanawake wakijamba huwa wanakuwa wabishi kukubali lakini Wanaume hukiri bila hiyana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,869
Hili nimeliona sehemu nyingi sana unakuta mpo ' Wawili ' tu Wewe na Mwanamke fulani halafu inatokea unasikia kabisa ' harufu ' kali ya ' Mjambo ' na ukiangalia pembeni yenu hamna Mtu yoyote zaidi tu ya nyie lakini ukimuuliza huyo Mwanamke kuwa nani ' Kajamba ' utamwona anaruka kabisa kuwa siyo Yeye kisha anaanza kukusingizia Wewe ambaye ndiyo ' amekutesa ' na harufu yake ya ' Kutukuka ' ya ' Mjambo '.

Mara nyingi sana Wanaume huwa wanakiri haraka kama wakiulizwa au wakibanwa kuwa ' Wamejamba ' ila siyo kwa akina Dada zetu ambao ukifanya ' mzaha ' ukijifanya kung'ang'ania kuwa ' wamejamba ' wao unaweza hata kutukanwa bonge la ' Tusi '.

Dada zetu kwani ' Kujamba ' ni dhambi? Kwani mkikiri tu kuwa ' mmejamba ' nyie kwa bahati mbaya ' Urembo ' wenu utapungua? Hivi kweli huwa hamuoni ' aibu ' wala ' kujishtukia ' tupo wawili tu mahala fulani halafu umeachia ' Kitu ' cha maana na ukiulizwa unakataa kata kata na kutusingizia sisi mliotutesa kwa ' Kipafyumu ' chenu cha asili?

Shikamooni akina Dada nyote!
 
Sasa pini kama masogange lijambe hata wewe utakataa hakujamba utajihisi ulijamba wewe

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Breaking the wind in public means one's sphincters are loose, which is a bad sign, why having loosened valves??
 
Breaking the wind in public means one's sphincters are loose, which is a bad sign, why having loosened valves??
Kuachia ushuzi ni afya mkuu I love farting especially when I'm alone cruising while alone in my landrover,it feels good and its perfume soothes my feelings,it's like incense lit up in a car

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
...a proudly flatulist i see, anyway, that's why i used the word 'public'!
I know it's healthy, but it shouldn't be done in a public or loudly rather in a public!
 
Back
Top Bottom