Hivi ni kwanini Wanaume wengi waliokwishaoa, wakija kufanikiwa baadae kimaisha hutamani kuoa/kupata Mke/Mwenza mpya?

Nimeona hili kwa Wanaume wengi, mambo yakiwa safi..hakuwa na Gari sasa kawa nalo, hakuwa na Nyumba sasa anayo...basi kifuatacho ni Mamaa mwingine atatafutwa.
Wengi huoa wakiwa bado wadogo au Kwa kushawishiwa na wazazi, ndugu , jamaa na marafiki. Na asilimia 90% wanaume huwa wahangaikaji kuliko wake zao. Kama unavyojua changamoto ya hela za wanawake huchangia kidogo Sana kwenye maendeleo . Sasa pale mwanaume anapofanikiwa huhitaji kulia kivulini. Ni lazima atatafuta mdada atakayemsitarehesha vizuri. Wote mnajua kupata mafanikio sio jambo la kitoto. Sasa mtu ni tajiri na mke wake Kesha jinenepea anacheka ni Kula tuu hawezi Yale mambo tena unategemea nini tena. Wanaume Wengine sio wa kuwalaumu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hufanikiwa kwa jitihada zao binafsi na mwanamke huwa ni kimvuli tu huku jamii ikimuona kama ni sehemu ya mafanikio kwa Mme , hivyo mwanaume akiwa na mafanikio hutamani kuwa na yule anaye dhani atakuwa ni msaada kwake kimawazo na namana nyingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, ingawa mimi huwa siungi mkono kusema Mwanamke hajachangia mafanikio, miaka kumi lazima kuna mchango wake hapo.
 
wanaume wengi walioanza 0 huwa wanavumilia sana manyanyaso/dharau ya wake zao wa ujanani, hali hiyo huwapa motisha ya kufanya kazi kwa bidii huku wakijiapiza siku moja wakitoboa lazima wataongeza wake au wataacha kabisa wake zao wa awali kutokana na kumbukumbu ya manyanyaso/dharau

Tuseme ukweli wanaoteseka ,kudharauliwa na kunyanyasika katika ndoa wengi ni wanawake. Hao wanawake unaowasema ni 1 kati ya 10. Wanaume tubadilishe mitazamo
 
Kubwa linalotokea hapa ni kwamba zile sababu za kuoa alizokuwa nazo hapo awali hazibaki kuwa hizo hizo muda wote.

Kumbuka kuwa labda kuna mademu fulani wakali aliwatamani na akawa hana namna kwani mifuko ilikuwa hoi, sasa anazo basi anaamua kutimiza kiu yke ya muda mrefu.
 
wanaume wengi walioanza 0 huwa wanavumilia sana manyanyaso/dharau ya wake zao wa ujanani, hali hiyo huwapa motisha ya kufanya kazi kwa bidii huku wakijiapiza siku moja wakitoboa lazima wataongeza wake au wataacha kabisa wake zao wa awali kutokana na kumbukumbu ya manyanyaso/dharau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni sababu kubwa na wanawake wengi wapo hivi hasa baada ya kufunga ndoa na kuwa na watoto wawili watatu! Wengine hata kutoa unyumba ni shida!
 
Nimeona hili kwa Wanaume wengi, mambo yakiwa safi..hakuwa na Gari sasa kawa nalo, hakuwa na Nyumba sasa anayo...basi kifuatacho ni Mamaa mwingine atatafutwa.
BWNA WEWE ASILIMIA KUBWA YA WANAUME TUNAPENDA KUWA NA WANAWAKE WENGI AU KUGEGEDA PAPUCHI TOFAUTI TOFAUTI TATIZO NDALAMA TUU. UKISHAPAT MIHELA SASA KWA NINI USIGGEDE WANAWAKE WENGI KADRI MFUKO UNAVYORUHUSU.
 
Hao wanaume malimbukeni wa maisha tu na mwisho wao unakuaga mbaya sana. Uende ukaoe mke mwingine kwasababu una pesa huku uliyetafuta nae uknamwacha si laana hiyo. ?
Ndio naona hata Wachangiaji wengi hapa wana miss point.

Cha msingi hapa ni kuwa kama hujawa tayari kuoa basi subiri, badala ya kutafuta tu Mtu wa kusogeza maisha, ukishafanikiwa ndio eti ukatafute Mwanamke wa Ndoto yako.
 
BWNA WEWE ASILIMIA KUBWA YA WANAUME TUNAPENDA KUWA NA WANAWAKE WENGI AU KUGEGEDA PAPUCHI TOFAUTI TOFAUTI TATIZO NDALAMA TUU. UKISHAPAT MIHELA SASA KWA NINI USIGGEDE WANAWAKE WENGI KADRI MFUKO UNAVYORUHUSU.
Wanasema "ukweli utakuweka huru" na hizi ndio ndoto za Wanaume wengi kama sio wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom