FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Na mimi nimesemea kudumu kwa gari na utunzaji wake, wewe umesemea usalama barabarani, mwingine atasema tuajiri wauza mafuta wa sheli kwa sababu anazojua yeye, i mean ipi sasa itakua basis ya kuchagua moja over the other?!Hilo la ufundi haliwahusu mi nimesemea sheria za barabarani na alama zake
Sent using Jamii Forums mobile app