Hivi ni kwanini walaji wa nyama ya nguruwe hufa vifo vya ghafla?

Hahaha mleta mada mbona wewe hujafa ghafla?!
Kifo cha ghafla kikoje au ghafla ni lini na saa ngapi?! Au ghafla ni nini?!
Mi nafahamu kufa ni kufa tu hakuna kufa ghafla.
 
Kwa taarifa yako utafiti umeonesha nguruwe ina nyama bora kuliko zote, na ina virutubisho vyote tunavyovihitaji mwilini, pia imeonesha kuwa watu wanaoiponda ndo wadau wakubwa wa nguruwe.
 
Wakuu kitimoto ndo nini ili niiepuke nisije kufa ghafla!!!!
Hicho hapo mkuu
20190726_151932.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unajua mtu unaweza kua huna hamu na mchepuko lkn watu wakapiga story kuhusu mchepuko mpaka unajiona unskwenda Sinza kwa mchepuko badala ya nyumbani. Sasa leo mmeongelea kitimoto mpaka nimeamua kubadili njia. Leo napitia Kimara kula nyama ya nguruwe dume lililonona.
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Kama huyo jamaa
tapatalk_1559973836850.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Acha uchuro, wewe mzee wa shiriki..! Ukome kuzodoa kitoweo chetu swetani wewe
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu

Walaji wakubwa wa nyuma ya nguruwe ni Wamarekani, Wachina na Wazungu tusubiri wafe ghafla tukahamie huko.
 
Nimekuwa nikishangaa sana aisee kwamba kwanini walaji wa nyama ya nguruwe aka kitimoto hufa vifo vya ghafla?

Hadi sasa sijapata majibu lakini nadhani kuna athari fulani kutokana na kula nyama hiyo.

Nawakaribisha wataalamu
Baba yangu anaila tangu yupo mdogo leo anamiaka89
 
Kuna jamaa yangu Athumani xxxx kafariki last week ghafla. Naanza amini alikuwa anakula nguruwe au nyama yake kwa siri.

Back
Top Bottom