Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

Nenda kosome moja ya andiko la Pasko Mayala humu, baada ya kumuuliza lile swali 'Shujaa' na baada ya kuandika kuhusu mapungufu ya Bunge nini kilimpata.
Alieleza wazi kabisa kwamba mirija yake ya kiuchumi ilipigwa gundi, ikafika hatua hata jengo alilopangisha kama ofisi ya shughuri zake akashindwa kulipa kodi.

Hii nchi CCM inataka watu LOYAL to the Government (Wasifiaji na wenye ukimya hata kama jambo siyo jema).

Vituo vikubwa vya habari ni IPP (ITV, EATV, RADIO ONE, CAPITAL na Magazeti yao) na CLOUDS GROUP, tayari baadhi wamelemba TEUZI hivyo wamejenga UTII kwa Serikali kama TAASISI.
Aisee..!
 
Hii ya kuteua watu kutoka kwenye kada mbambali imepelekea watanzania wengi kuwa wanafiki wakiwamo hao wanahabari, unataka waukose udc?
 
Back
Top Bottom