mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 830
- 1,228
Mkuu nandembako,hilo neno maana yake ni kiongoz Wa wahengaNimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.
by emma mjasiriamali
Sent using Jamii Forums mobile app