Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,549
- 3,890
Hapo naamini umeelewa mkuu
Ukienda jeshini,afande,ukienda hospitali,Dr,ukienda chuoni,profesa,ukienda shuleni,mwalimu,ukija jf mkuu, hivo member yoyote wa JF ni mkuu
Hapo naamini umeelewa mkuu
Ndio utaratibu wa huku mkuuNimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.
by emma mjasiriamali
Well explainedVery simple Mkuu.
Tunatumia neno "mkuu" sababu hatujuani humu,hatujui nani mkubwa na nani mdogo..hatujui nani mwanamke na nani mwanaume hivyo neno mkuu linafaa kutumika sehemu yeyote.
Nafikiri umenielewa kidogo mkuu
Nimeelewa wakuuHapo naamini umeelewa mkuu
Hapana,nimekuwa anxious to knowKwani kuna shida yoyote mkuu?
Safi sana mkuuNimeelewa wakuu
by emma mjasiriamali
Nimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.
by emma mjasiriamali
Ndio maana kuna ink collection= mbadala
Ni ujinga tu kuitana "mkuu" kama ulivyo ujinga wa kutokuelewa wapi pakutumia R na wapi pakutumia L kwenye maandiko.
Duh!!!= mbadala
Ni ujinga tu kuitana "mkuu" kama ulivyo ujinga wa kutokuelewa wapi pakutumia R na wapi pakutumia L kwenye maandiko.
Mimi huwa siliutumiiNimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.
by emma mjasiriamali
@joverest njoo kwa mama watoto wako huku= mbadala
Ni ujinga tu kuitana "mkuu" kama ulivyo ujinga wa kutokuelewa wapi pakutumia R na wapi pakutumia L kwenye maandiko.
Ndio maana kuna ink collection
by emma mjasiriamali