Hivi ni kwanini tukio la KPG halijaandikwa kwenye vitabu vitakatifu?!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,009
40,680
Takriban miaka million 55 iliyopita kulitokea tukio la kimaafa linalojulikana Kama KPG impact ambapo jiwe kubwa lenye upana Wa mamia ya maili lilianguka na kuleta madhara sawa na mabomu laki moja ya nuclear ambapo asilimia 99 ya viumbe vote duniani vilitoweka.

Tukio hili limekuwa proven beyond doubt. Je biblia haikuona umuhimu Wa kubainisha hili kinagaubaga?!

Kwa maelezo zaidi http://en.wikipedia.org/wiki/Cretaceous–Paleogene_extinction_event

=================================
 
Takriban miaka million 55 iliyopita kulitokea tukio la kimaafa linalojulikana Kama KPG impact ambapo jiwe kubwa lenye upana Wa mamia ya maili lilianguka na kuleta madhara sawa na mabomu laki moja ya nuclear ambapo asilimia 99 ya viumbe vote duniani vilitoweka. Tukio hili limekuwa proven beyond doubt. Je biblia haikuona umuhimu Wa kubainisha hili kinagaubaga?!
Dogo hizo ni Science Fictions! Ulimwengu wa Biblia hauna zaidi ya miaka 6000!
 
Ebo biblia inaelezea tangu siku saba za kuumbwa kwa dunia.., u mean dunia ina miaka 6,000 tu wakati fuvu la olduvai gorge lina miaka zaidi ya million moja.., hivi unaakili wewe..??!
kwani wewe una akili kuamini dunia ina zaidi ya miaka milioni 55!!!???
 
nani aliyegundua hizo mbinu?
Hivi leo nikikuuliza nani aliegundua kugegeda is it relevant, so as long as it works?! Haya tu-assume amegundua mchepuko.., imebadilisha nini???! the procedure works and thats it!
 
Sio kila ki2 kiliandikwa. Yaliyoandikwa ni kwa ajili ya kutufundisha jambo flani.
Huo ni utetezi usio na mashiko.., hivi leo useme nchi hii inaviongozi wengi sana.., halafu uwataje wenyeviti vya serikali za mitaa.., wakuu wa wilaya.., umwache Rais alafu usema pamaja na wengine.., wakati Rais ndio ilibidi haswa atajwe.., hili tukio lilikuwa la kipekee!
 
Back
Top Bottom