FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,023
- 40,693
- Thread starter
- #21
Kuna minerals nyingine hutumika kufanya scientific dating.., hiyo carbon nimetelezaacha kuropoka cd haizidi miaka 40,000.
Acha porojo.
Kuna minerals nyingine hutumika kufanya scientific dating.., hiyo carbon nimetelezaacha kuropoka cd haizidi miaka 40,000.
Acha porojo.
Kuna minerals nyingine hutumika kufanya scientific dating.., hiyo carbon nimeteleza
Hilo fuvu limeshakuwa proven kwa kutumia carbon dating.., sasa unataka ni-prove nini tena.., do some googling kidogo kama huamini.
Ebo biblia inaelezea tangu siku saba za kuumbwa kwa dunia.., u mean dunia ina miaka 6,000 tu wakati fuvu la olduvai gorge linamiaka zaidi ya million moja.., hivi unaakili wewe..??!
Vyote hivyo ulivotaja vilitokea.., except kuna 1% walisurvive (Sijui how)sawa, sasa rukhsa, tuendelee na porojo!
Kitu kizito kikitoka nje ya Dunia tunategemea msuguano wa anga utakichoma na kitakachofika duniani ni metali mfano wa chuma n.k.
Uki piga dunia na kitu chenye density ya chuma kwa upana wa maili kadhaa nini kitatokea?
Dunia itawaka moto.
Vumbi litajaa dunia nzima.
Mvua ya acid itanyesha muda mrefu.
Dunia itahama mzingo wake wa kawaida kuzunguka jua: wastani wa joto litaongezeka au kupungua.
Mkuu vyote hapo juu vitafanya viumbe hai wote duniani kufa.
Labda uniambie tupo mbinguni ila wenyewe hatujafahamu.
Mimi mwenyewe nilikuwa nahoji hilo, sio kwamba nilikuwa natoa hiyo statement. legeza ubongo tafadhali na usome mtiririko wa thread kwa makini.Mambo ya carbon dating sipingani nayo ila hapa
Hii miaka 6000 umepata wapi ndio swali langu ??
Vyote hivyo ulivotaja vilitokea.., except kuna 1% walisurvive (Sijui how)
Kwa maelezo zaidi: CretaceousâPaleogene extinction event - Wikipedia, the free encyclopedia
umesema vyema!Hivi leo nikikuuliza nani aliegundua kugegeda is it relevant, so as long as it works?! Haya tu-assume amegundua mchepuko.., imebadilisha nini???! the procedure works and thats it!
No probability can be 100%..!,vile vile kuna life forms hadi leo zinasurvive kwenye extreeme environments kiasi kwamba ni ngumu kuamini viko hai! haya weka quote ya kutoka kwenye bible unitoe uvivu na mi nisome hicho ki-portion.1% waliobaki wangekufa kwenye kipindi cha enzi ya barafu kitakachotegemewa kufuata.
Dunia nzima ndani ya barafu ni kama kuwa kwenye jokofu ya hapa mwaloni.
Ila kwenye Biblia wameandika uvivu wako wa kusoma.
No probability can be 100%..! we mwehu nini...,vile vile kuna life forms hadi leo zinasurvive kwenye extreeme environments kiasi kwamba ni ngumu kuamini viko hai! haya weka quote ya kutoka kwenye bible unitoe uvivu na mi nisome hicho ki-portion.
laiti kama roman catholic wangefungua maktaba yao kwa watu,kungepatikana majibu mengi sana kuhusu bible
Umeanza kuarisha sasa.., umeandika nini hapa?!
Endeleeni nae..tafadhali usifanye hivyo kwenye kifaa cha umeme, najua huwa nyie wa mirembe hamtishii kujamba.
Watu watatukanana humu hahahaha. Ngoja nikae kuangalia hii movie
Sio kila tukio liliandikwa kwenye biblia vinginevyo tungekuwa na biblia kubwa kama meli kama wangeamua kuandika kila kitu.Takriban miaka million 55 iliyopita kulitokea tukio la kimaafa linalojulikana Kama KPG impact ambapo jiwe kubwa lenye upana Wa mamia ya maili lilianguka na kuleta madhara sawa na mabomu laki moja ya nuclear ambapo asilimia 99 ya viumbe vote duniani vilitoweka.
Tukio hili limekuwa proven beyond doubt. Je biblia haikuona umuhimu Wa kubainisha hili kinagaubaga?!
Kwa maelezo zaidi CretaceousâPaleogene extinction event - Wikipedia, the free encyclopedia
kwa kifupi:ebo biblia inaelezea tangu siku saba za kuumbwa kwa dunia.., u mean dunia ina miaka 6,000 tu wakati fuvu la olduvai gorge linamiaka zaidi ya million moja.., hivi unaakili wewe..??!
hii kitu haipo wikipedia as an authority..,bali ipo pale kusambaza knowledge. hii imekuwa recorded kwenye papers na journals za kila aina. legeza ubongo.How comes unaamini wikipedia?? Miaka 55?? Are u serious?? Matukio yote ya kisayansi yamewekwa kwenye biblia?