Hivi ni kwanini Rais Magufuli anafuatiliwa sana nchini Kenya?

Kwani mleta mada alikua anamuongelea Rais wa masauti au Rais Magufuli?

Link zote nilizoweka humu ni za gazeti moja tu Kenya makusudi kabisa ili muone namna mnavyofatilia habari za Magufuli, hapo sijaweka habari za Tanzania in general wala sijaweka link za magazeti mengine na accounts nyingine za watu TV, radios mkubali tu ukweli kwamba Kenya inafuatilia sana habari za Tanzania sio burudani tu mpaka siasa.

Japo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.
 
Ukiachana na hayo, wananchi wakenya wanamshinikiza Uhuru amuige JPM kwa nguvu zote
 
Insults ni defense mechanism for weak, insecure and immature people, Wanaume strong huwa hawatukani wengine, so grow up man!

People with little gray matter read insults in a simple English word like "Dunderhead"......Danganyikans can be such sorrowful creatures why lie.
 
Hii ni dalili kwamba hapa mtandaoni wwe ni mgeni! Unataka kusema anayefuatilia Mjadala wetu hapa mtandaoni katudukua!?

Haya ni mawasiliano ya wazi ambayo kila mtu anaweza kuyaona mradi tu awe amesajiliwa kwenye Mtandao husika!! Hili la udukuzi ni lako na chuki zako za kitoto.
Japo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umesoma nilichoandika au umebwatuka kama ilivyo kawaida yenu, rais wenu mwenyewe alikiri kwamba hudukua mawasiliano ya simu ya mawaziri wake, hakuna aliyetaja mambo ya huku JF.
 
Wwe ndo unabwatuka kama ilivyo ada yenu kukosa nidhamu na utu. Usiwe unasoma /kusikiliza na kufanya tafsiri sisisi. Jifunze kutafakari Ndg!
Hivi umesoma nilichoandika au umebwatuka kama ilivyo kawaida yenu, rais wenu mwenyewe alikiri kwamba hudukua mawasiliano ya simu ya mawaziri wake, hakuna aliyetaja mambo ya huku JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe kuna mambo yuko njema sio Kenya tuu sehemu nyingi za dunia wanamkubali.
Japo nabii hakubaliki kwao but am sure wapo ambao watamsifu siku akiachia ngazi
 
Hili nalo lina kaukweli fulani, tangu mchome vifaranga na kukamata ng'ombe wetu, vilisababisha uhasama baina yetu kiasi hata Wakenya ambao hawakua wana issue na Tanzania wakajua kweli mumefikisha chuki zenu kwenye kiwango kipya.

Mk254 issue sio hiyoo ndugu yangu, wakenya wengi ni kweli wanampenda sana Magu ili tu kufikisha habari kwa viongizi wao waache kula kitu kidogo. Magu hapendelei ujinga wa rushwa sasa viongozi wa Kenya wamezidi rushwa wananchi hawana hamu nao!!!
 
Unaongea maneno ya 3 years ago.
Sasa hivi kila mtu ameshajua Magufuli ni mwenda wazimu.

unamuita magufuli mwendawazimu while a few days ago, one of the prominent politician in kenya was suggesting that kenya should copy a tanzania's systems of
controlling government spending which was introduced my magufuli.
tapatalk_1547412831158.jpeg
 
Japo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.

Ahaaa haaa haaa
kipi kipya hapo. wewe hujui kwamba Uhuru naye anadukuliwa na watu wake!!!?
 
Back
Top Bottom