Hivi ni kwanini Rais Magufuli anafuatiliwa sana nchini Kenya?

Siyo kweli huenda Kenya mara kwa mara na ndo maana nikauliza hilo swali, sijatoa hewani tu, hata Gavana wa Nairobi anamnukuu Magufuli kila mara.

Unaambiwa ukweli unabisha, sasa uliuliza swali ukitaka jibu au vipi, mbona hukumuuliza huyo rafiki yako Mkenya kipi ambacho Wakenya wanazungumza kumhusu Magufuli, ni kweli wakati alianza zile safari zake za kushtukiza shtukiza watu maofisini na kutumbua, hapo alitajwa sana na vyombo vya habari Afrika kote na kusifiwa sifiwa, nakumbuka kipindi hicho hata kuna baadhi ya Wakenya walianzsiha hashtag za kwenye Twitter za kumfisu Magufuli.

Lakini alipojishtukia kwamba huo sio uongozi na anaharibu akaacha hizo shtukiza na kuwa rais ipasavyo, ila sasa Tanzania ikaanza kusikika ikifanya mambo ya kiajabu ajabu kama kummiminia Tundu Lissu risasi 38 akaletwa huku Kenya, kuchoma kuku wa kutokea Kenya, mara ng'ombe wetu wamekamatwa, mara tukaona picha za wanajeshi (sio polisi) wameshika doria kwenye maduka ya kubadilisha fedha, mara wanajeshi wanabangua korosho...yaani full vituko
 
DUUU
hiii sasa imezidi
🤣🤣🤣🤣😅😅😅
Ahaaa haaa haaa

Mara nyengine unaweza kua unacheka mtu kumbe ni unajicheka mwenyewe!!!

wvkr1pafalqhapsd55ad1ad2d4f6f.jpg

551344_10151440729104483_194224754_n.jpg

Hio picha ya Magufuli branch inamaanisha kuna Watanzania flani wanaikubali sana hio timu
 
Unaambiwa ukweli unabisha, sasa uliuliza swali ukitaka jibu au vipi, mbona hukumuuliza huyo rafiki yako Mkenya kipi ambacho Wakenya wanazungumza kumhusu Magufuli, ni kweli wakati alianza zile safari zake za kushtukiza shtukiza watu maofisini na kutumbua, hapo alitajwa sana na vyombo vya habari Afrika kote na kusifiwa sifiwa, nakumbuka kipindi hicho hata kuna baadhi ya Wakenya walianzsiha hashtag za kwenye Twitter za kumfisu Magufuli.

Lakini alipojishtukia kwamba huo sio uongozi na anaharibu akaacha hizo shtukiza na kuwa rais ipasavyo, ila sasa Tanzania ikaanza kusikika ikifanya mambo ya kiajabu ajabu kama kummiminia Tundu Lissu risasi 38 akaletwa huku Kenya, kuchoma kuku wa kutokea Kenya, mara ng'ombe wetu wamekamatwa, mara tukaona picha za wanajeshi (sio polisi) wameshika doria kwenye maduka ya kubadilisha fedha, mara wanajeshi wanabangua korosho...yaani full vituko
 
Sasa hii nini, maana hapo umeleta link ya taarifa za habari ambapo mbona kawaida kwa gazeti kuzungumzia kuhusu marais wa ukanda huu, hehehe yaani mkitajwa na gazeti letu hata kwa habari za kawaida huwa inawapa kiki sana. Ukitaka naweza kukuletea hapa links za magazeti yetu yakizungumzia habari za marais wote wa ukanda huu.
 
Kwani mleta mada alikua anamuongelea Rais wa masauti au Rais Magufuli?

Link zote nilizoweka humu ni za gazeti moja tu Kenya makusudi kabisa ili muone namna mnavyofatilia habari za Magufuli, hapo sijaweka habari za Tanzania in general wala sijaweka link za magazeti mengine na accounts nyingine za watu TV, radios mkubali tu ukweli kwamba Kenya inafuatilia sana habari za Tanzania sio burudani tu mpaka siasa.
 
Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
Kwasababu ni moja ya watawala makatili, akili ndogo but all-knowing na uaji waliofanikiwa kubaka taifa hili bila kutarajia. Wanajifanya yasije kutokea kwao pia.

Ndio maana hata rafikiye ODINGA kadunda mpaka kazeeka. Hawataki hata kujaribu mtawala zwazwa anayejifanya anajua kila kitu.
 
vipi bro. ndege imeshatua kweli JNIA?
 
Kwasababu ni moja ya watawala makatili, akili ndogo but all-knowing na uaji waliofanikiwa kubaka taifa hili bila kutarajia. Wanajifanya yasije kutokea kwao pia.

Ndio maana hata rafikiye ODINGA kadunda mpaka kazeeka. Hawataki hata kujaribu mtawala zwazwa anayejifanya anajua kila kitu.

Swali kwako, kama Raisi Magufuli ni akili ndogo kama unavyodai, vipi wewe, mamako, babako, na Watanzania wote kwa ujumla, I mean, aliwezaje kupita kote huko hadi kuwa Raisi wa JMTZ kama ana akili ndogo ukimlinganisha na wewe ambaye ni failure through through in life? Raisi Magufuli ameenda kutoka Mwalimu mpaka kuja kuwa Raisi wa JMTZ, unaweza kuelezea how did that metamorphosis happen?
 
Back
Top Bottom