BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,535
- 10,974
Very LowMfano juzi kati nimetumiwa link ktk Kenya kwamba Mama yake Raisi Magufuli no mgonjwa na picha Raisi Magufuli akimtembelea Mama yake hospitalini, nilishangaa iweje Mkenya alijue hili?
Very LowMfano juzi kati nimetumiwa link ktk Kenya kwamba Mama yake Raisi Magufuli no mgonjwa na picha Raisi Magufuli akimtembelea Mama yake hospitalini, nilishangaa iweje Mkenya alijue hili?
Siyo kweli huenda Kenya mara kwa mara na ndo maana nikauliza hilo swali, sijatoa hewani tu, hata Gavana wa Nairobi anamnukuu Magufuli kila mara.
DUUU
hiii sasa imezidi
🤣🤣🤣🤣😅😅😅
Ahaaa haaa haaa
Wewe baba mbona unalazimisha jiwe apendwe na kilamtu?Mfano juzi kati nimetumiwa link ktk Kenya kwamba Mama yake Raisi Magufuli ni mgonjwa na picha Raisi Magufuli akimtembelea Mama yake hospitalini, nilishangaa iweje Mkenya alijue hili?
Kogelo wanaishi watanzania?Mara nyengine unaweza kua unacheka mtu kumbe ni unajicheka mwenyewe!!!
Hio picha ya Magufuli branch inamaanisha kuna Watanzania flani wanaikubali sana hio timu
Hii ni ya janaEti Magufuli alifanya nini? Hahaa! Hebu tupia hiyo link basi, ya habari hizo kama zilivoripotiwa kwenye media za Kenya. Na iwe media inayoheshimika tafadhali.
Kogelo, K'OgaloKogelo wanaishi watanzania?
Kindly post that link
Unaambiwa ukweli unabisha, sasa uliuliza swali ukitaka jibu au vipi, mbona hukumuuliza huyo rafiki yako Mkenya kipi ambacho Wakenya wanazungumza kumhusu Magufuli, ni kweli wakati alianza zile safari zake za kushtukiza shtukiza watu maofisini na kutumbua, hapo alitajwa sana na vyombo vya habari Afrika kote na kusifiwa sifiwa, nakumbuka kipindi hicho hata kuna baadhi ya Wakenya walianzsiha hashtag za kwenye Twitter za kumfisu Magufuli.
Lakini alipojishtukia kwamba huo sio uongozi na anaharibu akaacha hizo shtukiza na kuwa rais ipasavyo, ila sasa Tanzania ikaanza kusikika ikifanya mambo ya kiajabu ajabu kama kummiminia Tundu Lissu risasi 38 akaletwa huku Kenya, kuchoma kuku wa kutokea Kenya, mara ng'ombe wetu wamekamatwa, mara tukaona picha za wanajeshi (sio polisi) wameshika doria kwenye maduka ya kubadilisha fedha, mara wanajeshi wanabangua korosho...yaani full vituko
Mara nyengine unaweza kua unacheka mtu kumbe ni unajicheka mwenyewe!!!
Hio picha ya Magufuli branch inamaanisha kuna Watanzania flani wanaikubali sana hio timu
Kogelo, K'Ogalo
i think these are two different things
Magufuli: Tanzania prefers Chinese aid to West'sEti Magufuli alifanya nini? Hahaa! Hebu tupia hiyo link basi, ya habari hizo kama zilivoripotiwa kwenye media za Kenya. Na iwe media inayoheshimika tafadhali.
Kwani mleta mada alikua anamuongelea Rais wa masauti au Rais Magufuli?Sasa hii nini, maana hapo umeleta link ya taarifa za habari ambapo mbona kawaida kwa gazeti kuzungumzia kuhusu marais wa ukanda huu, hehehe yaani mkitajwa na gazeti letu hata kwa habari za kawaida huwa inawapa kiki sana. Ukitaka naweza kukuletea hapa links za magazeti yetu yakizungumzia habari za marais wote wa ukanda huu.
Kwasababu ni moja ya watawala makatili, akili ndogo but all-knowing na uaji waliofanikiwa kubaka taifa hili bila kutarajia. Wanajifanya yasije kutokea kwao pia.Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
Ilikuwa Juzi kweli.!??? Punguza uongo mkuuJuzi Walipokuwa wanazindua OSBP ya namanga wakenya walihudhuria kwa wingi kuliko watz, na kilichowaleta ni kumuona Magu maana Rais wa kwao wanamfahamu toka mda.
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi bro. ndege imeshatua kweli JNIA?Kwasababu ni moja ya watawala makatili, akili ndogo but all-knowing na uaji waliofanikiwa kubaka taifa hili bila kutarajia. Wanajifanya yasije kutokea kwao pia.
Ndio maana hata rafikiye ODINGA kadunda mpaka kazeeka. Hawataki hata kujaribu mtawala zwazwa anayejifanya anajua kila kitu.
Kwasababu ni moja ya watawala makatili, akili ndogo but all-knowing na uaji waliofanikiwa kubaka taifa hili bila kutarajia. Wanajifanya yasije kutokea kwao pia.
Ndio maana hata rafikiye ODINGA kadunda mpaka kazeeka. Hawataki hata kujaribu mtawala zwazwa anayejifanya anajua kila kitu.