Hivi ni kwanini Rais Magufuli anafuatiliwa sana nchini Kenya?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
 
Mkuu, kasi ya huyu jamaa ni ya 6G hivyo lazima 254 wafatilie tu, sio kwamba wanapenda sema hamna jinsi, Jamaa ni kama maji usipo mnywa utakutana nae bafuni tu.
 
Ungesema wachafu members ningekuelewa lakini maguF? Wengine hatahawamjui. Siasa za tz ni Giza totoro. Bongo fleva is what exposes you
images (8).jpeg
images (7).jpeg
 
Hili nalo lina kaukweli fulani, tangu mchome vifaranga na kukamata ng'ombe wetu, vilisababisha uhasama baina yetu kiasi hata Wakenya ambao hawakua wana issue na Tanzania wakajua kweli mumefikisha chuki zenu kwenye kiwango kipya.
 
Ungesema wachafu members ningekuelewa lakini maguF? Wengine hatahawamjui. Siasa za tz ni Giza totoro. Bongo fleva is what exposes you

Siyo kweli, hakuna Mkenya mwenye akili timamu asiyewahi kumsikia Magifuli labda kama hasomi magazeti ya Kenya, I mean kila anachofanya Magufuli kinaandikwa Magazeti ya Kenya, mengine hata rafiki yangu huniuliza wakati mimi wala sijasikia bado.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom