Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣😅😅😅Akili matope za wakenya et walisubiri waruhusiwe kusafiri na ID badala ya passport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kasi ya huyu jamaa ni ya 6G hivyo lazima 254 wafatilie tu, sio kwamba wanapenda sema hamna jinsi, Jamaa ni kama maji usipo mnywa utakutana nae bafuni tu.Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
Passport na ni hapa tu. Kwani Tanzania ni Europe?Akili matope za wakenya et walisubiri waruhusiwe kusafiri na ID badala ya passport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Europe ni bora zaidi kwako!!! Kwa kunyenyekea wazungu hamjamboPassport na ni hapa tu. Kwani Tanzania ni Europe?

Ungesema wachafu members ningekuelewa lakini maguF? Wengine hatahawamjui. Siasa za tz ni Giza totoro. Bongo fleva is what exposes you