mr yamoto
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 923
- 1,393
Hivi Ni Kwanini Rais Akifanya Kitu Kizuri Hatuwasifii 'Washauri Wake' Lakini Akifanya Ujinga Tunawalaumu Washauri Wake? Ni Unafki Au Ni Uoga Wa Kusema Ukweli Rais Anapokosea? BTW Si Rais Alishasema Kwamba Yeye Hashauriki? Bado Unawalaumu Washauri Wa Mtu Asiyeshaurika?
Shirika la ndege ni letu sote. Ndege zimenunuliwa kwa kodi zetu. Hata kama hatukubaliani na baadhi ya mambo yanavyokwenda, hatupaswi kushangilia changamoto au hasara. Ni ya kwetu sote.
Naamini tunapaswa kuendelea kukomaa nao kwa kukosoa na kushauri mkakati mbadala hadi wasikilize
Ziliponunuliwa Tukaambiwa Ni Jitihada Zake, Alipoenda Nazo Chato Likizo Tukaambiwa Kanunua Yeye Tusimpangie Matumizi, Tulipohoji Mikakati Ya Shirika Tukaambiwa Tunatumiwa Na Mabeberu. Leo Zimekamatwa Mnasema Ni Zetu. Kwaiyo Kwenye Raha Ni ZAKE Kwenye Matatizo Ndio ZETU?
Hakuna aliyefurahi ndege ya ATC kuzuiliwa SA, mtu asipotoshe.
Lengo la comments zetu ni kuisihi tena serkali isifanye maamuzi kwa kurupuka.
Tuliasa ziliponunuliwa Bombadia, tukarudia ktk Midude. Tulichojibiwa ni kejeli.
Tutawalipisha, msipofuata taratibu za utawala bora.
Haya Ndio Madhara Ya Kununua Ndege Bila Mikakati, Kama Tungekua Na Mikakati Tungejua ATCL Inadaiwa, Ina Kesi, Ilizuiwa Kuingia Mataifa Kadhaa N.k Hivyo Tungetatua Kwanza Changamoto Hizo Kabla Ya Kulifufua Shirika Lakini Kwasababu Nia Ilikua Nikupata SIFA ZA KISIASA Wacha Kiumane.
Kuna Watanzania, Wana CCM na Wapinzani. Watanzania wanasikitika ndege kushikiliwa na wanatoa ushauri mbadala. Wana CCM wanaitetea serikali hata kama mipango yake haina tija. Wapinzani wanafurahia kufeli kwa serikali na kuendelea kuiombea mabaya.
Tunaoumia ni sisi Watanzania.
mr yamoto.