Hivi ni kwanini matajiri top ten Tanzania ni watu wa asili ya kiarabu na kihindi? Wazungu, wachina, wajapani, waafrika asilia kwanini wasiwe wao?

Mlaumu nyerere kipindi kile akisikia mtu mweusi ana hela ni mwendo wa kumpa kesi ya uhujumu uchumi...
 
Sawa, brand utaisimamisha ila usipotoa mbinu za kuiendesha na kuilinda inakufa tu. Kulikuwa na Brand ya nguo inaitwa FUBU! Unaona ipo sokoni?

Mengi kaacha franchaise ya Cocacola Kwanza na Bonite! Wahindi washafanya yao tayari kinawaka huko bonite wafanyakazi wanaandamana tu hovyo. Watoto wapo ila ule mchongo ushachukuliwa na wahindi.

Kuna kitu kinaitwa succession plan! Wabongo huwa hatuna hicho, ndio maana baba akifa na biashara imeisha!

Cocacola kwanza sio ya reginald mengi, ile Bonite inachukuliwaje na wahindi wakati ni Mali ya mengi?, wafanyakazi wa bonite wanaandamana kisa nini? Extrovert
 
baba mambo ya shares! Wahindi wamekata maslahi mishahara na overtime.

Itakuwa Mauzo ya soda na maji yameshuka, ila kwa bonite siamini kama wahindi wana share kubwa pale, nahisi Mengi ana share ya atleast 51% kwenye bonite, so.. alieshusha mishahara ni regina Extrovert
 
Yote kayataka Nyerere
Sasa Nyerere alitawala miaka 24 na tangu ang'atuke madarakani sasa hivi ni miaka 35. Inawezekana kweli kuna mambo yalisababishwa na sera ya ujamaa wakati wa Nyerere lakini je baada ya Nyerere kung'atuka madarakani miaka 35 iliyopita mbona bado hatuna hao matajiri wakub wa waafrika? Nachokoza tu!
 
Waarabu wanamilik mabus wahindi maduka ila kila tajir nyumbani kwake kuna tahira inawezekana kuna uhusiano wa utajiri na utahira
 
Back
Top Bottom