Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Naomba mwenye ufahamu wa swala hili anisaidie?
Gap ya utajiri weusi kuachwa nyuma ilianza baada ya Uhuru,enzi za ukoloni angalau wapo waafrika walikuwa wanakimbizana na weupe,walifilisiwa tulipoadpote ujamaa hapa wengi walipoteza kabisa mitaji yao,wajanja wachache hasa wachaga wao walihamishia Kenya pesa zao ili wasifilisiwe.
Sababu ya mifumo yao yaani uaminifu,uchapakazi,kudhaminika,inabidi tuwaulize wachina, wajapani, wazungu mkuu humu ℅98 weusi na wa Asia
Kufa kwa biashara inategemea na mzee alikuwa anaiendeshaje kutumia misingi ya kibiashara au janja janja?Mtoto wa kiafrika akirithi biashara kutoka kwa baba, hufa. Au kwa maana nyingine baba akifa, hufa na biashara yake na kuacha tu ugomvi kwa watoto.
Sio kweli matajiri wakubwa nchi ya Kenya ni waafrika na NIgeria pia hao akina DangoteUtajiri unatengenezwa katka mfumo wa uwekezaji wa muda mrefu mzee katka nyanja mbalimbali angalia mfano bakhresa,manji,mo au hata mengi rostam ni watu ambao utajir wao umejengwa katka misingi ya familia kwa muda mrefu sasa (utajir wa africa ambao umebase sana kwny uwekezaji wa viwanda na kilimo) waafrica wengi tumeshindaa kuendana na hii kasi passion ya kukuza biashara ili iwe ya familia hatuna na wengi tumeloea kwny formal education ambayo haiwaandai kabisa watoto kujiajiri na kuwa wabunifu wa bidhaa zats y tuko avarage wasiosoma wapo kwny biashara with no innovation factor nyngne zinafata hapo
Akhsante
Utajiri unatengenezwa katka mfumo wa uwekezaji wa muda mrefu mzee katka nyanja mbalimbali angalia mfano bakhresa,manji,mo au hata mengi rostam ni watu ambao utajir wao umejengwa katka misingi ya familia kwa muda mrefu sasa (utajir wa africa ambao umebase sana kwny uwekezaji wa viwanda na kilimo) waafrica wengi tumeshindaa kuendana na hii kasi passion ya kukuza biashara ili iwe ya familia hatuna na wengi tumeloea kwny formal education ambayo haiwaandai kabisa watoto kujiajiri na kuwa wabunifu wa bidhaa zats y tuko avarage wasiosoma wapo kwny biashara with no innovation factor nyngne zinafata hapo
Akhsante
Ccm wanataka wananchi wawe wanyonge. Wenyewe wanajiita chama cha masikini. Wageni wametumia udhaifu huo kuneemeka wakati wazawa wakibakia kuwa masikini wangonge ili ccm iendelee kutawalaNaomba mwenye ufahamu wa swala hili anisaidie?
Biashara hairithishwi bali BRAND ndio inarithishwa, weusi wengi wanafanya Biashara za uchuuzi sio Branded biashara za uchuuzi zinaweza kuwa hata na mtaji wa 500M ila kama sio Brand uwezi mrithisha mtu, brand kitu kama Apple, Sumsung, Azam, Azania, DSTV.... local Brand zilizoanzishwa ambazo hata wewe unazishuhudia LAVY PRODUCT ya Flaviana matata, FIne By Falsafa, Wasafi Media.Kufa kwa biashara inategemea na mzee alikuwa anaiendeshaje kutumia misingi ya kibiashara au janja janja?
Matajiri wengi kibongo bongo wanatulia mbinu chafu kusimama kwenye game na mara nyingi biashara ambazo sio clean ni ngumu kuwahusisha wana familia moja kwa moja. Watu watajua tu duka linauza spea za magari toka dubai kumbe kuna gari za kibongo zinapigwa na kuchinjwa night kali na ndio zinafanya biashara ikue kwa haraka.
Kuna kukwepa kodi pia. Pengine mshua anatumia mbinu ya kukwepa kodi ya mapato kwa kuwapitia wakubwa flani wanaomkingia kifua. Mnaona biashara inakuwa kubwa kuliko wenzenu
Sawa, brand utaisimamisha ila usipotoa mbinu za kuiendesha na kuilinda inakufa tu. Kulikuwa na Brand ya nguo inaitwa FUBU! Unaona ipo sokoni?Biashara hairithishwi bali BRAND ndio inarithishwa, weusi wengi wanafanya Biashara za uchuuzi sio Branded biashara za uchuuzi zinaweza kuwa hata na mtaji wa 500M ila kama sio Brand uwezi mrithisha mtu, brand kitu kama Apple, Sumsung, Azam, Azania, DSTV.... local Brand zilizoanzishwa ambazo hata wewe unazishuhudia LAVY PRODUCT ya Flaviana matata, FIne By Falsafa, Wasafi Media.
Kimsingi huu ni ukweli wa dhati....Kufa kwa biashara inategemea na mzee alikuwa anaiendeshaje kutumia misingi ya kibiashara au janja janja?
Matajiri wengi kibongo bongo wanatulia mbinu chafu kusimama kwenye game na mara nyingi biashara ambazo sio clean ni ngumu kuwahusisha wana familia moja kwa moja. Watu watajua tu duka linauza spea za magari toka dubai kumbe kuna gari za kibongo zinapigwa na kuchinjwa night kali na ndio zinafanya biashara ikue kwa haraka.
Kuna kukwepa kodi pia. Pengine mshua anatumia mbinu ya kukwepa kodi ya mapato kwa kuwapitia wakubwa flani wanaomkingia kifua. Mnaona biashara inakuwa kubwa kuliko wenzenu
Manji alikuwa mwizi nadhani unakumbuka sakata la magodowns. Rostam Azizi pia unajua alivyokuwa anacheza nafasi zote katika first 11 ya wezi wote hapa. Hapo tatizo ni kwamba waunganishaji wote wa mipango hiyo (walioko serkalini) huwa hawako tayari kumpasia mweusi mwenzao kwasababu wanazozijua waoUtajiri unatengenezwa katka mfumo wa uwekezaji wa muda mrefu mzee katka nyanja mbalimbali angalia mfano bakhresa,manji,mo au hata mengi rostam ni watu ambao utajir wao umejengwa katka misingi ya familia kwa muda mrefu sasa (utajir wa africa ambao umebase sana kwny uwekezaji wa viwanda na kilimo) waafrica wengi tumeshindaa kuendana na hii kasi passion ya kukuza biashara ili iwe ya familia hatuna na wengi tumeloea kwny formal education ambayo haiwaandai kabisa watoto kujiajiri na kuwa wabunifu wa bidhaa zats y tuko avarage wasiosoma wapo kwny biashara with no innovation factor nyngne zinafata hapo
Akhsante
chanzo ni post-Nyerere CCM.Naomba mwenye ufahamu wa swala hili anisaidie?