Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia?

Furaha ya kumuona idol wao King of Pop akiperform live ilizidi viwango wengi walilia machozi ya furaha na wengine kuzimia kwa furaha iliyozidi viwango. Too much of anything is HARMFUL.

Huwa najiuliza hili swali mara kwa mara wakuu, leo lazima mnipe majibu mtake msitake.

Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia.
 
Kushangilia kwingi na kucheza mpaka wanaishiwa nguvu na ule mbanano wanakosa hewa kabisa na mwisho kupoteza fahamu

Hao hawakuwa wanaigiza kama kwa wachungaji wetu
 
Furaha ya kumuona idle wao King of Pop akiperform live ilizidi viwango wengi walilia machozi ya furaha na wengine kuzimia kwa furaha iliyozidi viwango. Too much of anything is HARMFUL.

Idle -> idol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi smart phone you have to pay extra attention with spelling. Nilishawahi kuandika tusi kubwa kwa bidada tunayeheshimiana sana ilibidi niombe samahani, akanielewa.
Idle -> idol
 
Hizi smart phone you have to pay extra attention with spelling. Nilishawahi kuandika tusi kubwa kwa bidada tunayeheshimiana sana ilibidi niombe samahani, akanielewa.,
😁 Auto completion zinachangamoto sana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
usahau kulia....nadhani Michael Jackson ndio mwanamziki anayeongoza kwa wanawake kulia kwenye show zake.
 
Show za michael zilikuwa zinaandaliwa vizuri sana
Angalia movie ya "this is it" maandalizi ya concert yake ya mwisho ambayo haikufanyika
 
Back
Top Bottom