Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
Israeli ni mama wa US, imezaliwa jana tu, kabla US haijawa na nguvu Israeli ilizuiliwa na nani kutofutwa?Kwanini mnaiangalia Israel nje ya US?!! Bila US Israel,can not exist! So kama US ipo hakuna uwezekano wa kufutwa kwa Israel