Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Nimekua nikifuatilia makala mbali mbali zinazohusu mustakabali wa taifa letu zinazoletwa na wadau mbali mbali ndani ya jukwaa hili.
Makala inayopongeza juhudi mbali mbali zinazofanywa, au hatua zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kutuletea maendeleo hupondwa sana na wadau wengi na pengine kukosa michango yaani supporting.
Lakini mada zinazoponda juhudi za awamu hii ya tano, hupata like nyingi na michango mingi yenye kubeza.
Najiuliza je? Bado tupo kwenye campaign? Au Kuna kundi lipo kwa ajili ya kuhakikisha serikali inakwama? Na ni kwa faida ya Nani?
Ukosoaji ni Sawa! Huku ukileta mawazo chanya na si kubeza.
Wadau Naomba tulijadili hili kwa faida ya nchi yetu bila kutanguliza itikadi ya uvyama vyetu.
Nawasilisha.