Hivi ni kwanini hakuna Rais au Waziri mkuu kivuli?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Wakuu pole na harakati zenu!
Kwa kawaida hua nasikia labda waziri wa maliasili! Kuna na waziri wake kivuli hivyo hivyo na waziri wa viwanda sijui biashara naye kunakuwa na waziri kivuli!!sasa wakuu hivi mbona ngazi ya rais na waziri mkuu mbona hakuna waziri kivuli au rais kivuli??? Naomba kueleweshwa wakuu!!
 
Back
Top Bottom