Hivi ni kwanini barabara ya Uhuru isiwe ya njia 4?

Kwanini isiwe walau kama hii?!

7.jpg
 
Inawezekana lakini hawana ubavu wa kulipa au sacrify (for government buildings) gharama za ubomoaji wa majengo yaliyopo kuanzia Buguruni hadi Mnazi Mmoja. Ukiona jinsi DART walivyofanya kazi ya kukwepa majengo ndipo utapata jibu lakini kwa Uhuru haina kukwepa!
 
Yavunjwe bila fidia kwa maslahi ya taifa
 
Ikiwa wameshindwa kuvunja vibanda vya Mkwajuni ambavyo gharama ya kimoja hakifiki hata 50 million ndo watakuwa na ubavu wa kuvunja majengo ambalo kila utakalogusa utaambiwa linaanzia 3 billions!!
 
Back
Top Bottom