lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Hivi ni kwanini baada ya uchaguzi kumalizika,walioshinda hawataki kutibu,vidonda vya uchaguzi?
Ni vizuri kwa wale walioshinda,kuwafariji wale walioshinda,hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa,hata kwenye michezo ndivyo inavyatakiwa,pia hata nchi zinazofanya siasa za kistaharabu,ndivyo inavyokuwaga,hapa kwetu,ni tofauti kidogo,hapa kwetu ni mshindi,anamsumanga yule aliyeshindwa,tena kwa matusi,vijembe,na mabavu,kweli mtu mweusi amelaaniwa,na mungu,viongozi wa dini wapo,na wanasapoti kwa nguvu zote hali hii