hivi ni kwamba samsung wameingiliwa au?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
habari za x-mass wanajukwaa? nilikuwa naomba msaada kidogo hapa,,kama kuna mtu kafika mtaa wa msimbazi karibu na round about kariakooo,,dar,atakuwa ameona simu za samsung,nokia,htc, n.k mfano hizo za samsung zinauzwa 85,000 na nyingine kubwa kama tablets kilo 1.1,,,,,nazimeandikwa zina uwezo wa wifi,android,,dual sim cards,,je nauliza hizi nni simu za kampuni la samsung au wazee wa ku-copy na ku-paste na ku-modify ,,,,ambaye ana uelewa atwambie au ambaye kanunua atujuze ili nasi tukazivamie
 
kama unapenda vitu original, usithubutu kununua hizo simu, vinginevyo utalia baada ya hapo,ni matatizo. Jichange ukanunue Simu original sehemu za uhakika na sio iyo mitaa
 
Mi mwenyewe nataka nijipatie msimu wa disign hiyo niendelee na mambo ya wifi mjini
 
  • wakuu mi nafikiri majibu inabidi yawe katika huu mfumo
  • simu ni ya samsung au?au bonyeza *----* kujua kama ni orijino
  • simu hizo ni nzuri au ni mbaya coz si kila ki2 cha mchina ni kibaya
 
Hizo simu ni feki na kwa kuwa huzijui vizuri nasi ndiyo inarahisisha changa la macho kabisa.

Bei ni kigezo kimojawapo cha ufeki,
 
Mkuu karibia simu zote zinazouzwa hapo kariakoo ni feki hata kama utaona zimeandikaje na masifa kibao, kama unataka simu orginal ni bora uende pale maduka ya posta ila bei zao ni kubwa kwa sababu simu zao ni orginal haswa
 
Mkuu karibia simu zote zinazouzwa hapo kariakoo ni feki hata kama utaona zimeandikaje na masifa kibao, kama unataka simu orginal ni bora uende pale maduka ya posta ila bei zao ni kubwa kwa sababu simu zao ni orginal haswa

nashukuru kwa ushauri wako lkn kariakoo mbona nimenunua simu haina shida useme haina viwango kama hizo
 
hizo simu bado zinatumia analojia, tafuta zile samsung za dijitali!
 
hapo cha ajabu sijui nini umeona, simu ya samsung kuuzwa 85,000 (hujasema simu gani) ? tab ya samsung kuuzwa 1.1mn (hujasema ukubwa wake)? ulifikiri zinauzwa sh ngapi???

na si kweli vyote kko ni fake, vingi tu vipo orijino , na posta wanauza vitu bei ghaali na sio kwamba vyote ni orijino!
 
  • wakuu mi nafikiri majibu inabidi yawe katika huu mfumo
  • simu ni ya samsung au?au bonyeza *----* kujua kama ni orijino
  • simu hizo ni nzuri au ni mbaya coz si kila ki2 cha mchina ni kibaya

Mkuu bei yenyewe inaleta mashaka. Iweje Samsung tablet iuzwe sh 110,000? Hapo kuna haja ya kwenda kwenye complex verification procedures? Labda kwa interest tu. Hata wangeiba wasingeuza bei hiyo ambayo hata galaxy pocket huwezi kupata.
 
kwa upande wa tablet ya 110,000 posibility kubwa hio ni ereader ambazo zina umbo kama tablet sema zimetengenezwa kwa ajili ya kusomea vitabu nazo pia zina wifi na browser sema nyingi ni black and white vioo vyake.

Ona hizi picha hapa chini ni ereader za rangi

asuseeereader.jpg


qual-thumb-550xauto-33942.jpg


uspokua makini unaweza uziwa kitu kama hicho ukadanganywa ni tablet.
 
hayo ni mambo ya wazee wa ku-copy na ku-paste na simu hazina uwezo huo wa wifi na android so ts better kununua kwenye maduka amboyo ni authorized.
 
Back
Top Bottom