Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

ipo siku wanaume watageuka wanawake...tuone kama tutakubali ku******wa hadi tupate mimba..acheni upumbavu
Duh! una hasira mbaya wewe
hii siku haiwezi kuja hata siku moja
Ila pole sana naelewa kwanini unasema hivi
Ebu tuone kama wanawake wataunga mkono hii hoja yako ya wanaume kugeuka wanawake na ku******wa hadi kupata ujauzito
 
Mambo ya ku test kabla ya ndoa ni tamaa tu. Watu wengi sikuhizi wanatawaliwa zaidi na tamaa kuliko upendo. Upendo husubiri bwana! Kama wako ni wako tu.Watu wanashindwa kusubiri, matokeo yake hata honeymoon inakosa radha. Cha muhimu zaidi ni kumuogopa Mungu na kufuata maandiko ya vitabu vitakatifu yasemavyo.
 
kama nguvu yetu tunge ipeleka kwenye mabadliko ya uchumi maongezi ya ngono ni rahisi..
 
sababu imani imepungua. mara nyingi mwanaume anaamini anayebaniwa ni yeye tuu (ili atangaze ndoa) lakini wengine wanapiga kama kawa. hivyo inabidi mtu aonje ili angalau asichekwe ujinga.
 
Ukiwa na mpenzi bila ya 'kumla mwili' eti usubiri hadi ndoa hatakuelewa na huenda ukawa mwisho wa kuwa pamoja. Haya mambo ya kutest ni wote wa kulaumiwa wanawake na wanaume
 
Kama kutest muhimu,mbona watu kibao ninaona wameshindwa kwenye ndoa zao pamoja na kwamba walitest? Kama kutest kungekuwa na faida kwa nini wanaume wanatafuta nyumba ndogo na wanawake wanaishia kwa hausiboi/serenget boys?

Hivi kumbe wanaume wanapotumika kwa housegirl wanawake wao wanatumika kwa houseboy?

Nikirejea suala la kutest kabla ya ndoa. Suala la msingi labda tujiulize wanawake wengi wanaolewa wakiwa na umri gani na wanaume wanaolewa wakiwa na umri gani? Na je wanawake wanaanza suala la mapenzi wakiwa na umri gani na wanaume wanaanza wakiwa na umri gani. Kwa mtazamo wangu wengi (wake kwa waume) wanaanza mapenzi ktk umri ambao hata suala la ndoa hawajalifikiria. msichana yuko darasa la 5 (say an miaka 12) ameanza hayo mambo. Leo unataka mie nimuoe kabla sijatest akiwa na miaka (say 24) huo si kudanganyanya tu. Nina hakika kipindi ww uko kwenye mawasiliano unasema hautest kuna mtu atakuwa anatest. Na hii sioni kama ni mjini tu hata vijijini pia. Mie nikiwa primary sielewi mambo hayo wakati huo mademu wengi walikuwa wameishaanza na wanatusalandia.
 
Kama we unasema hautesit basi demu wako atakuwa na jamaa nje ambaye anamega kama kawaida wakati mwenye mali unasubiri hado ndoa.Ninamfano hai hapa wakati nikiwa chuoni kuna dem alikuwa kaokoka na jamaa yake pia ni kweli hawa watu walikuwa wanasubiri hadi siku ya ndoa then ndo waanze ajabu yake kukawa na jamaa mwingine akawa anammega yule dem kila akihitaji na mbaya zaidi ni pale jamaa anapoleta mazaga kwa dem wake then yanaishia kwa msela.Sasa lipi jema si aheri tu kumega kabla?
Angalizo;kama kweli mnaweza wote mkasubiri ni vyema ila kama kuna ambaye hawezi basi peaneni ninyi kwa ninyi...
 
yaani nimecheka hadi machozi!Anyway, Inapendeza!
woman_man_ighk.jpg
 
Nimekuwa nikiwasikia wanaume... mpaka apewe unyumba....
Kwani wanaume hawawezi kusubiri mpaka siku ya ndoa? Na je haya mambo ya kutest ni sahihi au ndo wakati wake hasa ?
Hao wanaume na wanawake wanao test-ana, wote wana matatizo...!

Wanawake nao wanatakiwa wawe na misimamo, wanaume kama wanataka ku-test na wanawake kama hawataki kwani itakuwaje...!?
 
Hao wanaume na wanawake wanao test-ana, wote wana matatizo...!

Wanawake nao wanatakiwa wawe na misimamo, wanaume kama wanataka ku-test na wanawake kama hawataki kwani itakuwaje...!?

Nani alikudanganya kuwa wanawake huwa hawataki? Wanataka na Kupenda tena sana. Wanazuga tu. You never know with women.
 
...Masanilo vipi mdada anacheki size ya mashine kabla hajaingiz timu uwanjani??? Mtu anaweza kuwe kampira kwapani..I like this

usipime kwa macho kaka, jaribu kitu kiingie uone mshindo wake, si kila king'aacho ni dhahabu! yawezekana kwa macho inavutia lakini kuisimamisha ufanye kazi ya ziada upigie na makofi kabisa 'simama dedeee nikupe mkate, na baga, na piza ndio kwa mbaali uone inaanza kukaza msuli!!!! nyingine mpaka upekeche kama baiskeli ukaidandie kibahaaaa ndio umhhh angalau inapiga kazi dakika tatu, nzi asitue mgongoni stimu imekata unaanza upyaaa, sasa kazi gani hiyo?? wakati kuna mashine kabla haijapigwa start ishawaka:rolleyes::):cool:
 
Nani alikudanganya kuwa wanawake huwa hawataki? Wanataka na Kupenda tena sana. Wanazuga tu. You never know with women.
Kwa maana hiyo Chrispin, ni uonevu kuwalalamikia wanaume tu kuwa wanapenda kuwa-test wadada, kumbe hata wanawake wanapenda kuwatest wakaka, ili kujuwa kama nao wamo au sio...lol!
 
usipime kwa macho kaka, jaribu kitu kiingie uone mshindo wake, si kila king'aacho ni dhahabu! yawezekana kwa macho inavutia lakini kuisimamisha ufanye kazi ya ziada upigie na makofi kabisa 'simama dedeee nikupe mkate, na baga, na piza ndio kwa mbaali uone inaanza kukaza msuli!!!! nyingine mpaka upekeche kama baiskeli ukaidandie kibahaaaa ndio umhhh angalau inapiga kazi dakika tatu, nzi asitue mgongoni stimu imekata unaanza upyaaa, sasa kazi gani hiyo?? wakati kuna mashine kabla haijapigwa start ishawaka:rolleyes::):cool:

Am desperately asking: Are you he or she?
 
Am desperately asking: Are you he or she?

I am proud to inform you that am "SHE" why desperately asking?

In addition, a married she, who did that before na nikaona matunda ya kutest kabla ya ndoa na ninafuraha sana kwenye ndoa kwa upande huo wa ngono kwani niliridhika nayo kabla ya kuisajili rasmi ndoa, na sijutii uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom