Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

Hehehehe unafikiri wakati anachukuliwa jamaa alikuta kitu sealed? thubutu kilisha kuwa used.

Mkuu umerudi Tukuyu na mambo mapya! Hahahaha! Lol! Kwa hiyo mshosti alishananihino kabla ya kiapo?
 
Unajua ZD, Kufurahia tendo hata bila kutest yawezekana maana inahitaji experience ya muda hadi kuwa compatible.Naamini wanawake hao kama waume zao waliwajali basi with time waliweza kufurahia.Kama wanaume wenyewe nao hawakujali basi itakuwa ni shughuli.Niliwahi kusikia pia kwamba wanawake wengine wa enzi hizoooo hawakujua hata O iko vipi.Kwa vile mwanaume yeye kaumbwa kuweza kufika kuleeee kunako bila ufundi wa ziada basi ndio maana wanaume huweza kufurahi hata bila kutest in advance.Wanaume hao hao bado jamii iliweza kuwafumbia macho pale walipotoka kutafuta ladha tofauti tofauti baada ya ndoa na hili liko wazi halihitaji mjadala kuthibitisha.

Nimekupata.Kumbe ni kujiendekeza na kupenda kuvunja kwa makusudi amri ya Mungu.
 
Mkuu umerudi Tukuyu na mambo mapya! Hahahaha! Lol! Kwa hiyo mshosti alishananihino kabla ya kiapo?

Hahahaha mpwa bado sijarudi nimejikita NJB hapa nakula winter la adabu vekesheni inaendelea.
 
dah!! kwanza inabidi kucheki hao wanaume wanatest na kina nani! unamaanisha na hao wanaotarajia kuwaoa au ku-test na viruka njia ili kumalisha hamu kabla ya kumpata wa kuoa?msichana anayeolewa anapasha kuwa na msimamo, kama atataka ku-test-iwa, basi poa, iana yeye pia si angetaka kujua ni nini huyu mtu anacho cha kum-offer(katika tendo la kijamiiana)! kikubwa ni maelewano kati ya pande mbili!!
why men "test the water b4 taking shower", wanataka tu kujidhirish kuwa wao ni wanaume!kama msichana hapendezwi na kufanya ngono na mtu atakayemuoa kabla ya ndoa, wanaume wako tofauti na wanawake na mahitaji yao ni tofauti, hivyo ladies kama mko tayari ku-swallow all the frustration of him messing around, sawa!!
 
kutest muhimu bana, wewe utanunua kitu used bila kukijaribu ufanisi wake wa kazi??
 
Hahahaha mpwa bado sijarudi nimejikita NJB hapa nakula winter la adabu vekesheni inaendelea.

Nipe habari, umefanikisha kufanza yale mambo yetu kwa kina niangusage? Hujanitumia contact za looser moja nikufuate huko
 
kutest muhimu bana, wewe utanunua kitu used bila kukijaribu ufanisi wake wa kazi??

Ni kweli mkuu. Wewe used, na unachochukua nacho used. Ahhh lazima mikoko itestiwe bana. Vinginevyo injini zinaweza kunoki.
 
Kama kutest muhimu,mbona watu kibao ninaona wameshindwa kwenye ndoa zao pamoja na kwamba walitest? Kama kutest kungekuwa na faida kwa nini wanaume wanatafuta nyumba ndogo na wanawake wanaishia kwa hausiboi/serenget boys?
 
aaah sana mkuu!, mi bana kuna demu aliniambiaga yuko bikra, sikuamini nikamwambia nipe nitest bana nione kama kweli ama vp, kutest mzee kitu brand new kweli!!.
kwahiyo kutest ni muhimu, usije uziwa mbuzi kwenye gunia
 
Hapo ndio yaleeee, kila siku ugali maharage! Inakinaisha. Au vinginevyo walitesti kiduchu. Unatakiwa utest kama miaka miwili hivi ili upate ladha kamili ya mapishi yote. Sasa unatest mwezi mmoja unatangaza ndoa, unategemea nini? Mi nilitesti mpaka katoto kakaibuka, nikaangalia sura yake inafanana na yangu ndio nikatangaza ndoa. Najilia vitu kwa raha zangu!
 
unajua unapotest ni kama vile unakula bigijii au bablishi kwamba baadae utamu utakwisha, sasa unategemea nini ukikuta utamu umekwisha?, unatest nyingine tena hahahaaa teh teh teh ndio mambo yenyewe hayo, utamu ukiisha ndio siku hizi wachina wamesaidia wana-recycle kitu kinarudi kama zamani!.
 
aaah sana mkuu!, mi bana kuna demu aliniambiaga yuko bikra, sikuamini nikamwambia nipe nitest bana nione kama kweli ama vp, kutest mzee kitu brand new kweli!!.
kwahiyo kutest ni muhimu, usije uziwa mbuzi kwenye gunia

Mzee baada ya kukuta kitu brand new, bado unaendelea kutest au ndio msepo tayari. Manake kitu kinaweza kuwa brand new lakini cha kichina. Lol!
 
baada ya kuanza kujisevia si utamu ukaisha!, hahaaaaa kama bigijii vile nikatema nikanunua nyingine.
 
aaah sana mkuu!, mi bana kuna demu aliniambiaga yuko bikra, sikuamini nikamwambia nipe nitest bana nione kama kweli ama vp, kutest mzee kitu brand new kweli!!.
kwahiyo kutest ni muhimu, usije uziwa mbuzi kwenye gunia

Sasa ulioa mtoto wa watu? au ndo ulimwacha solemba pamoja na kukupa lulu yake.
 
Hapo ndio yaleeee, kila siku ugali maharage! Inakinaisha. Au vinginevyo walitesti kiduchu. Unatakiwa utest kama miaka miwili hivi ili upate ladha kamili ya mapishi yote. Sasa unatest mwezi mmoja unatangaza ndoa, unategemea nini? Mi nilitesti mpaka katoto kakaibuka, nikaangalia sura yake inafanana na yangu ndio nikatangaza ndoa. Najilia vitu kwa raha zangu!

Kwi kwi kwi! we kweli kiboko.Lakini nahisi haupo kama hayo maneno yako.Nahisi ni kama kaka mmoja mpole sana kama sio bushoke.
 
Hehehehe unafikiri wakati anachukuliwa jamaa alikuta kitu sealed? thubutu kilisha kuwa used.
....Kwani ikiwa sealed inaongeza nini? na ikiwa used kuna lolote linalopungua?? Msaada pleasee!!1!
 
aaah sana mkuu!, mi bana kuna demu aliniambiaga yuko bikra, sikuamini nikamwambia nipe nitest bana nione kama kweli ama vp, kutest mzee kitu brand new kweli!!.
kwahiyo kutest ni muhimu, usije uziwa mbuzi kwenye gunia

Baada ya kutest na kuhakikisha mali ni mpya na inafanya kazi ulichukua au ndio uliacha iwe used material?....
 
Sasa ulioa mtoto wa watu? au ndo ulimwacha solemba pamoja na kukupa lulu yake.

bibie ukiwa na mahusiano lazima uoe?, tunatest kupata ladha tofauti tofauti mazee!!
sikuoa bana, mambo flani yalitokea basi kila mmoja akachukua hamsini zake!
 
Kwi kwi kwi! we kweli kiboko.Lakini nahisi haupo kama hayo maneno yako.Nahisi ni kama kaka mmoja mpole sana kama sio bushoke.

Hayo mengine upo sahihi, lakini hilo la bushoke ndipo ulipokosea. Darling, usithubutu kukutana na mimi hutaamini macho yako.
 
Back
Top Bottom