Hivi ni kwa nini wanaume tu hutwishwa zigo la "foreplay" na "afterplay"

mmh jaman!!!!!
izi mambo hazina formula jaman...kila mtu na kaujuz kake..et sjui wachaga ni wav....sjui wangoni wanajua kuka.....sjui wapopgoro watundu...haa hapana ni kila mtu na katalent kake....cz ktk hayo makabila si wote wanajua na si wote hawajui...!!!!!
mi ninavyojua akina CHACHAMWITA NDO WANAJUA SANA IZO FORE NA AFTER PLAY CZ WAO B4 GAME ANAKUSHINDILIA NGUMI KM 10 IVI ZA USO N AFTA GAME ANAKUNYUKA TENA ZA SHNGO UKITOKA APO ahhhhhhhhhh mweupeeeeeeeeeeee.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

i love you rose

i like boxing

and i like Floy Mayweather Jr
 
i love you rose

i like boxing

and i like Floy Mayweather Jr
ha!ha!ha! ha! so u lov me cz ur boxer? ...may b u thk i lke boxing?ooh noooo mi napenda kudundwa tu pale pa....as topic inavyosemeka..so ngumi +mateke b4 ngwanjala ngwanjala is ol m tokng here..!!!
n nt matumla style..!!!
 
Shalobaro !!!!

Its all related to Mila, desturi,malezi you name all
Mtoto wa kike toka akiwa mdogo anafunzishwa aibu kuanzia kushika dudu yake mwenyewe ataambiwa acha dudu, uchafu aibu e.t.c. Sasa hata akikuwa ataweza kweli kuexplore mwili wa binadamu mwingine?
- tunafundishwa ni aibu kwa mwanamke kumwanza mwanaume kwa kila kitu hata kumwelezea feelings zako ni dhambi sasa ataanzia wapi kuchangamka kunako game??

Ni hawa wa siku hizi na wale wenye access na utandawazi ndio ambao kidogo wanajitahidi.
 
is ma dream!!!!
i wl b hapy if i wl get even 24 caliber!!!
namba dsnt mata wat mataz here km napata wa swaga izo ...ama lahh kwa sababu zangu maalum!!!!
na km adolf hitla,mussolin angekuwa hai bas ahh mpango kamili ningekuwa sofia wa pili!!!!!!!!

kweli ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe!!!!
 
zungumza na mwenzio it helps, sema kwa sababu wengi wenu ni playaz thats why u feel like making a new move all the tym, lakini kwa mwanamke aliye wako she cant wait to turn u on.
 
Kitaalamu mwanamme anasikia nyege kirahisi kwa kuona (sighting /seeing) na mwanamke anasikia nyege kirahisi kwa kushikwa (sense of touch), kwa hiyo mkiwa wawili peke yenu ukimshika shika binti hasa sehemu fulani fulani yaani hachomoi. Ukikosa basi nenda katambike.
 
Rose80 Mbona umechakachua hii sredi na mambo ya AL SHABAB>>>umesababisha kijana wangu alale gafla kwa mstuko
 
lunch time Rose twende zetu!

kuna nin uko nije?nataka ugali wa muhogo na likolo la nanyungu!!!!!!!!
kesho utakula nin?
mi ugali+nyama ya kukaanga+maharage ya nazi+mchicha...
jumapili ugali wa sembe+matembele ya ndimu nyiiiing+samak wa kukaanga!!!..si juu ya meza ni kwenye mkeka then kijiusngz kdg ukiamaka sa kumi ivi unajishtua na red bull kurudsha nguvu afu waenda kansani kdg kuimba kwaya then ova.
 
Ukweli ni kwamba no body can do better!!!!

unajua mapenzi ni sanaa na ila mwana sanaa anakipaji chake so hakuna mwenye uwezo zaidi ya mwenzie......
 
Tanga, jamani TAnga, duuh sitasahau safari ile nilipopita pale Tanga, Tanga acha kabisa, unakutana na mtoto amelainika kama mlenda, hapo ndipo nilipoamini haya maswala yana Elimu yake, hayo maswala ya kigoda, kisahani na samli sio mchezo yapo kweli, bila kusahau na asmini kitandani, tembeeni muone wana JF mtoa mada kama angekuwa amepita hayo maeneo sidhani kama angeweza kuanzisha hii mada
 
Jamani ni sayansi ya mwili inabidi iwe hivyo, ili usimuumize mwenzio naye aridhike basi inabidi kuandaa mambo yawe sawa, nyie si mnajua wanaume dk tatu mbele na wanawake dk 2 nyuma, hivyo ili mwende sambamba foreplay na after play inahitajika, mwanamke inabidi asiwe mapepe sana ili asimuongeze sana speed mume kwa sababu tayari yeye yuko kasi, mwamume inabidi ashughulike na fore play kwa sababu amwongezee speed mwenzie.
nashangaa kwa nini mnalalamika wakati shughuli yenyewe mnaipenda na ndio maana hata kwenye daladala watu huanz akuwashika makalio hata wasiowajua!
 
kuna nin uko nije?nataka ugali wa muhogo na likolo la nanyungu!!!!!!!!
kesho utakula nin?
mi ugali+nyama ya kukaanga+maharage ya nazi+mchicha...
jumapili ugali wa sembe+matembele ya ndimu nyiiiing+samak wa kukaanga!!!..si juu ya meza ni kwenye mkeka then kijiusngz kdg ukiamaka sa kumi ivi unajishtua na red bull kurudsha nguvu afu waenda kansani kdg kuimba kwaya then ova.

mm:plane::ranger::ranger::ranger:
 
Shalobaro !!!!

Its all related to Mila, desturi,malezi you name all
Mtoto wa kike toka akiwa mdogo anafunzishwa aibu kuanzia kushika dudu yake mwenyewe ataambiwa acha dudu, uchafu aibu e.t.c. Sasa hata akikuwa ataweza kweli kuexplore mwili wa binadamu mwingine?
- tunafundishwa ni aibu kwa mwanamke kumwanza mwanaume kwa kila kitu hata kumwelezea feelings zako ni dhambi sasa ataanzia wapi kuchangamka kunako game??

Ni hawa wa siku hizi na wale wenye access na utandawazi ndio ambao kidogo wanajitahidi.

Mh kamanda kweli hiyo??

sasa na unyago na chicken pati je? mnafundishwa kuosha vyombo na kufuta viatu?
 
Back
Top Bottom