Hivi ni kwa nini Star TV hawasomi Magazeti Jumatano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwa nini Star TV hawasomi Magazeti Jumatano?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wisdom, Apr 14, 2011.

 1. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba kujua kwa nini siku ya jumatano ambayo kuna magazeti ya Mwanahalisi na Raia Mwema huwa Star Tv hawasomo magazeti au wamekatazwa, yanasomwa kupitia redio tu, naomba mnisaidie mwenye sababu. Nimefuatilia hili suala kwa wiki nne mfululizo.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Usalama wa taifa wa CCM iligundua kuwa Magazeti ya Mwnahalis na Raia Mwema yameamsha watu kanda ya ziwa, walipigwa stpo kuyasoma

  Hata ITV, TBC Radio nyingi hawayasomi haya magazeti
   
Loading...