Hivi ni kwa nini "MY ANGEL" inatumika tu kwa wanawake? Mbona kulikuwapo na Angels wa kiume

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Nashindwa kuelewa hili swala wana jamvi. Ni kwanini ni sisi wanaume tu ndo tunawaita wapenzi wetu "my Angel". Mbona Wanawake hawatumii my angel kuwaita wapenzi wao?
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Malaika (Angels au Angelus au Malak) ni viumbe wa kiroho waishio mbinguni kwa Mungu. Aliesema malaika ni wanaume au wanawake ni nani?
 
Nashindwa kuelewa hili swala wana jamvi. Ni kwanini ni sisi wanaume tu ndo tunawaita wapenzi wetu "my Angel". Mbona Wanawake hawatumii my angel kuwaita wapenzi wao?

leo Angel baada ya kuhudumiwa ipasavyo kesho ni mateke na mangumi.........................kuna hata sababu ya kujadili kweli hapo?
 
Back
Top Bottom