Hivi ni kosa kutumia hii pesa kwa matumizi binafsi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kosa kutumia hii pesa kwa matumizi binafsi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Feb 11, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba nijulishwe kama siku sina pesa Bibie akanionea huruma akanipa pocket Money,Na mimi nikaenda kupiga msele nikaanza kuitumia na akaja Totoz nikamtwanga kilaji na kwenda kubanjuka naye jama hapo si ninakuwa nimetumia efficiently??Kuna ubaya japo madame katoa??Mawe sitaki!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kazi mnayo. . .
  Wengine wanalalamika wake zao wanawakopesha pesa ya matumizi ya nyumbani. . .wengine mkipewa mnatumia kuhonga watu wenu wa nje. . .
  Kweli ndoa na mahusiano mengine tabu tupu.
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yani humu ndiyo tunazidi kujiaibisha wanaume...

  Huwezi amini! Sasa kama thread kama hiyo anajua wangapi wanaingia? Kama mke au girlfriend anaingia humu,anaweza akajenga dharau kwa wanaume!
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kashakupa basi u free kutumia utakavyo bana....ila na wewe ukimpa akaenda mpa dume usulalamike
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kaaazi kweli kweli!
   
 6. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mwezio awazi kama wewe yeye anafanya kabisa ana kaserengeti boys kake ambako kakiwa na shida tu kanamvutia uzi na hapo we unpigwa kizinga anapelekewa dogo kwa hiyo wala lisikuumize kichwa haya mambo ndivyo yalivyo
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, jf kuna mambo.
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  "Muosha huoshwa".
  Waweza tu kutumia utakavyo ila kumhonga mwanamke mwingine sidhani kama ni vyema. Ila kumbuka naye siku moja atakuja kumhonga mwanaume wa nje hela uliyompatia.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Looh, yaani wewe unalelewa mpaka hongo inatoka nyumba kumbwa!
   
 10. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,286
  Likes Received: 8,371
  Trophy Points: 280
  walioelea thread yako nahisi iliwachukua mda kidogo....kwa upande wangu bado sijaielewa labda nirudie mara mbili mbili kuisoma.
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  what you see is what you get... na kama kwako hiyo ni fair game basi jiandae ku-face upande wa pili wa shillingi: do you know that mademu unaowahonga nao wanahonga vidume vingine ili wamegwe...
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  wanaume wa siku hizi........
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jee ulishawahi kuulizia pesa unayotumia kuhudumika familia yako? Naamini hujafanya na wala hutofanya! Hatia inakusuta kwani si pesa ya mkeo tu bali hata yako mwenyewe si halali kuitumia kama hivyo? unaweza kumuarifu mkeo kuwa ulipopata mshahara umekwenda kubanjukia?
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Kama wewe nikilaza nikusaidie vipi??soma kwenye red utaelewa tu.
   
 15. m

  majogajo JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hawa watu na mapenzi ya tamthilia wanatusumbua, hv mwanaume utaombaje hela kwa mwanamke?
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Wakoje je tofauti na wazamani??
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Unamaa desemba mpaka desemba wewe unahudumia tu??hata kama hauna na mwenziyo anauwezo wakuwa na kitu unameza office pin tu!!ili usionekane umemuomba mwanamke!!???kazikwelikweli!!Kazana unakufa na tai shingoni kilasiku wewe nikukopa tu!!
   
 18. S

  Simcaesor Senior Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni wa ovyo kuliko watu wa ovyo nliowahi kuwaona.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Wewe ni he/she??tafadhali maana umekonkrudi!!
   
Loading...