Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,833
- 50,015
Nimechekaaa mnoo na umenikumbusha mbali sana. Unajua kila binadamu ana utahira au tuseme uchizi flani akiachwa peke ake ukitaka kuhakikisha hilo ww mchungulie mtu akiwa peke ake lazima kuna jambo la ajabu atafanya. Mi la kujamba mfululizo hilo nafanya sana.