Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?

Nimechekaaa mnoo na umenikumbusha mbali sana. Unajua kila binadamu ana utahira au tuseme uchizi flani akiachwa peke ake ukitaka kuhakikisha hilo ww mchungulie mtu akiwa peke ake lazima kuna jambo la ajabu atafanya. Mi la kujamba mfululizo hilo nafanya sana.
 
Kuna siku nilikula Mayai ya kuchemsha ya kutosha sasa natoka job nimeingia kwenye gari nikaachia ushuzi mmoja unanuka kama kibudu cha panya sasa ile nafika tu getini ofisini mlinzi ananistua kuna mama anakukimbilia anaomba lift nilikuwa mdogo kama piriton. Nikamchukua hivyo hivyo ingawa nilishusha vioo vyote kuokoa jahazi
 
Mbavu zangu mm..
 
Kidogo ifanane na Yangu. ...
Nilikuwa kazini nataka kwenda ghorofa ya juu kwa lift....nikabanwa na kijambo nikasema nichukue ngazi kwani huwa hakunaga watu huko.....ile nakiachia tu mlango wa juu Yangu ukafunguka mtu anashuka. ...nilishuka ngazi mpaka basement.....nikarudi juu kwa lift...
Nimeacha kujamba kwenye lift na kwenye ngazi.
 
Mimi nakumbuka nilikuwa darasa lapili nilishikwa na haja kubwa nikiwa shuleni choo cha shule kilikuwa kinatisha shimo kubwa na chafu mno, nilisubiri wanafunzi wote wameenda mapumziko nikajisaidia ndani ya darasa haja kubwa kumbe mwanafunzi 1 wakike aliniona niliona noma na shule nzima nikatangazwa sitakaa nisahau hilo tukio
 
Ulitisha mkuu
Niliwahi kupanga nyumba inachoo na bafu chafu Sanaa kisumu.ilinibidi nipange tu maake nilikua nauhitaji wa haraka kwa mwezi mmoja.usiku nikibanwa kunya nachukua kamfuko nakatengezea vizuri nakunya narusha kwenye mtaro.kuoga ilikua kuoga nje sa mi sikuweza so nilikua nachukua beseni tupu nasimama ndani yake nachota maji najimwagia naogea ndani.kisumu hmmmm.nilipanga nyumba ya mabati tupuuu ikifika SAA Tisa mchana kwasababu ya jua Kali TV inagoma kuwaka..maisha hayaaa
 
Nilikuwa chumbani nikijua nipo peke yangu kumbe wife yupo nyuma ya kabati la nguo anafanya usafi basi niliachia bonge la kijambo halafu nikaruka kama nimeshtuka hadi kitandani kumbe nafanya yote hayo wife ananicheki duh nilijisikia noma sana
 
Kuna mtu alinikera kwenye simu, sasa nikawa NATUKANA Kwa sauti peke yangu "QUMER MAKE" kumbe bimkubwa yupo ndani.

Khaaaa, alipotoka akajifanya hajaskia lakini du, niliona aibu na nikawa mdogo Kama mbegu ya UFUTA aisee.
 
Nimechekaaa mnoo na umenikumbusha mbali sana. Unajua kila binadamu ana utahira au tuseme uchizi flani akiachwa peke ake ukitaka kuhakikisha hilo ww mchungulie mtu akiwa peke ake lazima kuna jambo la ajabu atafanya. Mi la kujamba mfululizo hilo nafanya sana.
Mostly...tumewah fanya hvy
 
Niliwahi kupanga nyumba inachoo na bafu chafu Sanaa kisumu.ilinibidi nipange tu maake nilikua nauhitaji wa haraka kwa mwezi mmoja.usiku nikibanwa kunya nachukua kamfuko nakatengezea vizuri nakunya narusha kwenye mtaro.kuoga ilikua kuoga nje sa mi sikuweza so nilikua nachukua beseni tupu nasimama ndani yake nachota maji najimwagia naogea ndani.kisumu hmmmm.nilipanga nyumba ya mabati tupuuu ikifika SAA Tisa mchana kwasababu ya jua Kali TV inagoma kuwaka..maisha hayaaa
Uchafu wa hali ya juu Sana !!
 
Kipindi flani nikiwa umri wa 15 kijijin ...wakati nimeenda kuchunga ng'ombe enzi hzo ndy nanza anza kutumia sm ..nilikua nachezea cm mpkaka nikajisahau kama nachunga ng'ombe akaenda kula nyanya za watu ....saangap mwenyewe asione nikaanza kumkimbiza ng'ombe kumrudisha nyumba nilimpga Hadi nilimchubua mgongo ...baadae nikaa nikawaza kwani ng'ombe anakosa gani Hadi nimuumize ..nikapiga magoti nikamuimba ng'ombe msamaha
 
nilikuwaga mpenzi sana wa mieleka kipindi nipo form 1, sasa siku hiyo nimetegesha kamera ya simu mwenyewe najirekodi nikiachama mdomo kama akina roman reigns, kwa bahati mbaya zile video nikasahau kuzifuta j'mosi iliyofata nikaenda shule na simu wadau wakaziona .. ilikua noma sana ..
 
Back
Top Bottom