Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
607
Habar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.

Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa na bafu na choo kimoja. Jambo ambalo likitupa shida sana baadhi ya wapangaji ambao tulikuwa tukiamka alfajir kwenda makazini na wengine kwenye mihangaiko yao ya kila siku.

Jambo ambalo lilitulazimu kupanga foleni kwa ajili ya kwenda kuoga asubuh. Mimi nikaanzisha kamchezo kangu ili kuweza kuokoa muda. Nikawa naoga ndani kwenye jaba la kuhifadhia maji kamchezo hako kakaendelea kiasi kwamba ikafika wakati nikaona hakuna haja ya kwenda bafuni hata kusipokuwa na foleni.

Ikafika wakati wapangaji wenzangu wakaniuliza vp wewe jamaa huwa uogi..kumbe mzee nina bafu langu ndani.

Hebu na wewe tushirikishe la kwako.
 
Nilipofunga CCTV mara ya kwanza home kuna j2 moja wanafamilia yangu wote walienda church mpaka na house girl mie nikabaki alone. Sasa likapigwa sebene moja la Fally Ipupa nikawa nacheza sebuleni nijikwatua kama Joti halafu nafanya kama naanguka hivi. Nilikuwa sijui kama camera inanichukua sasa kuna siku nikawa napitia na wife video za CCTV nikakutana na hicho kipande yaani wife alicheka mpk machozi
 
Ulikuwa mchafuu
 
Ulikuwa mchafu,hata kunya ulikuwa unakunya humohumo
 
Kitu cha ajabu nilikifanya nikiwa kwenye age ya 16 for the first time nilipiga puchu nikiwa bafuni. Ile raha sikuweza kuivumilia ila nikawaza kuwa kama kwa mkono ni hivi je nikiwa na mwanamke itakuwaje?
 
Back
Top Bottom