Hivi ni kipi hasa kimeisibu Arusha?

1.5T ndio inayotumika kufanya figusi figusi katika chaguzi hizi ndogo ili ccm ionekanane inapendwa ila pasipo kutumia polisi na uchaguzi huru ccm kushinda ni ndoto
 
Kijana usukumani hatulali na njaa, ni aibu na fedheha kwa kabila letu kubwa mtu kulala njaa huku saivi mchele mpaka 1000 unapata, samaki tele mabwawani,ziwani. Tofautisha na watu wanao kula ndizi na makande daily. Usirudie tena

Ingekuwa kweli usingeandika kama bata namna hii!! Uongozi tulionao una reflect kilichosemwa! Njaa na ushirikina ndo mtaji mkubwa huko+ulimbukeni...!
 
Arusha tunarudi Nyumbani, kumenoga. Muriet tuna lami mpaka mlangoni, maji ya bombs kila nyumba tuhangaike na Upinzani ili turud kwenye taabu tena?
 
Back
Top Bottom