Hivi ni kipi hasa kimeisibu Arusha?

KIBST

JF-Expert Member
Jul 22, 2017
517
2,152
Kaka yangu LEMA ebu soma alama za nyakati kuelekea 2020.....
Nakuambia ukweli kabsa DALILI YA MVUA NI MAWINGU....hilo jimbo utalisikia kwenye redio baada ya 2020 maana hakuna jambo linawashangaza walio wengi kuona MADIWANI TENA watu wako wa karibu wakijiudhuru UDIWANI na kujiunga CCM na hakuna hata negative reaction kutoka kwa wananchi walio wachagua hiyo 2015 na kibaya zaidi bado wanaendelea kuchaguliwa hata wakiwa upande wa CCM....sasa vipi kuhusu wewe????mzee soma alama za nyakati wananchi wa ARUSHA wanajaribu kukufikishia ujumbe kwa njia hii na wewe hata kushtuka umeshindwa kabsa.....
 
Aiseee hili Jimbo naona tukinyang'anywa kwa nguvu zote
Na Hawa wapenda madaraka
 
Kaka yangu LEMA ebu soma alama za nyakati kuelekea 2020.....
Nakuambia ukweli kabsa DALILI YA MVUA NI MAWINGU....hilo jimbo utalisikia kwenye redio baada ya 2020 maana hakuna jambo linawashangaza walio wengi kuona MADIWANI TENA watu wako wa karibu wakijiudhuru UDIWANI na kujiunga CCM na hakuna hata negative reaction kutoka kwa wananchi walio wachagua hiyo 2015 na kibaya zaidi bado wanaendelea kuchaguliwa hata wakiwa upande wa CCM....sasa vipi kuhusu wewe????mzee soma alama za nyakati wananchi wa ARUSHA wanajaribu kukufikishia ujumbe kwa njia hii na wewe hata kushtuka umeshindwa kabsa.....
Ndicho kinachoendelea Mbeya mjini
 
Lema ni mchaga hata akikosa ubunge hawezi kulala njaa kama wewe msukuma...!!

Watakao sikitika ni wananchi kuongozwa na mafisi
 
Kijana usukumani hatulali na njaa, ni aibu na fedheha kwa kabila letu kubwa mtu kulala njaa huku saivi mchele mpaka 1000 unapata, samaki tele mabwawani,ziwani. Tofautisha na watu wanao kula ndizi na makande daily. Usirudie tena
 
Kaka yangu LEMA ebu soma alama za nyakati kuelekea 2020.....
Nakuambia ukweli kabsa DALILI YA MVUA NI MAWINGU....hilo jimbo utalisikia kwenye redio baada ya 2020 maana hakuna jambo linawashangaza walio wengi kuona MADIWANI TENA watu wako wa karibu wakijiudhuru UDIWANI na kujiunga CCM na hakuna hata negative reaction kutoka kwa wananchi walio wachagua hiyo 2015 na kibaya zaidi bado wanaendelea kuchaguliwa hata wakiwa upande wa CCM....sasa vipi kuhusu wewe????mzee soma alama za nyakati wananchi wa ARUSHA wanajaribu kukufikishia ujumbe kwa njia hii na wewe hata kushtuka umeshindwa kabsa.....
Wanachaguliwa kwa uchaguzi upi wa haki na wa kidemokrasia????... Mtoa uzi acha bangi... Hv unaamini kuwa sisi watanzania wa miaka hii ni wa 2000???...bila hongo wangehama???? Bila uchaguzi wa kutumia vyombo vya dola wana lumumba mnaweza shinda Jimbo Arusha????
 
Kijana usukumani hatulali na njaa, ni aibu na fedheha kwa kabila letu kubwa mtu kulala njaa huku saivi mchele mpaka 1000 unapata, samaki tele mabwawani,ziwani. Tofautisha na watu wanao kula ndizi na makande daily. Usirudie tena
Hahaha....kweli wewe ni msukuma akili fupi kama maisha ya funza. Kwa hiyo niliposema kulala njaa wewe akili yako ikakupeleka kula ugali mlenda au wali maharage na kulala....!?? Ndio hujalala njaaa!? Pole sana...hebu sumbua kuchwa kidogo
 
Eti "hawezi lala njaa kwa sababu ni mchaga". Kijana lala pakikucha unywe mbege, ule ndizi au kande, kakate majani ya mbuzi na ngurue alaf kabebe mizigo ya mtalii mlimani upate dollar. Wacha kusumbua watu tunasubiri kukuche tuingie kutengeneza marketing strategies za makinikia.
 
Kaka yangu LEMA ebu soma alama za nyakati kuelekea 2020.....
Nakuambia ukweli kabsa DALILI YA MVUA NI MAWINGU....hilo jimbo utalisikia kwenye redio baada ya 2020 maana hakuna jambo linawashangaza walio wengi kuona MADIWANI TENA watu wako wa karibu wakijiudhuru UDIWANI na kujiunga CCM na hakuna hata negative reaction kutoka kwa wananchi walio wachagua hiyo 2015 na kibaya zaidi bado wanaendelea kuchaguliwa hata wakiwa upande wa CCM....sasa vipi kuhusu wewe????mzee soma alama za nyakati wananchi wa ARUSHA wanajaribu kukufikishia ujumbe kwa njia hii na wewe hata kushtuka umeshindwa kabsa.....

Sasa wananchi walamike nini ikiwa serikali iko ngangari kwa utendaji murua, hata Lema mwenyewe anajuwa kuwa time has come kwa yeye kutemwa. Serikali hii ni ya kiukweli, inafanya kazi haswa mpaka sie wengine tuliokuwa tunapinga CCM huko nyuma tumerudi tena chamani kwa jinsi tunavyofurahishwa na huu utawala. Lema hiyo 2020 ni maiti tu, hakuna lingine....atazikwa mapemaaaaaaa, bora tu aanze kuiba mali za Chedema kuanzia muda huu la sivyo mtamkuta anaokota makopo 2021 na kujichekesha peke jalalani.
 
Hivi bado kuna uchaguzi nchini danganyika, sifikiri ivo ila hakuna marefu yasio na ncha, wapi Said Bare,Hitila, Mabutu ,Mugabe nk. Don't worry time will tell.
 
Sasa wananchi walamike nini ikiwa serikali iko ngangari kwa utendaji murua, hata Lema mwenyewe anajuwa kuwa time has come kwa yeye kutemwa. Serikali hii ni ya kiukweli, inafanya kazi haswa mpaka sie wengine tuliokuwa tunapinga CCM huko nyuma tumerudi tena chamani kwa jinsi tunavyofurahishwa na huu utawala. Lema hiyo 2020 ni maiti tu, hakuna lingine....atazikwa mapemaaaaaaa, bora tu aanze kuiba mali za Chedema kuanzia muda huu la sivyo mtamkuta anaokota makopo 2021 na kujichekesha peke jalalani.
Kama hii ndio hoja ya kurudi CCM basi kazi tunayo.... Hivi marekani na uchapa kazi wote ule wa Obama kama wangekua na akili kma zako si wangeipa ushindi democrats?? Embu tujifunze tofauti ya chama tawala na upinzani maana bongo ni kama tunafkiri basi mmoja akifanya kazi yake mwingine akae pembeni ni sawa na kusema kwa kuwa majambazi yamepungua basi polisi wapunguzwe!!! So funny nikikuuliza ni bajeti gani ya maendeleo imetekelezeka hata 60% huna majibu.... Nkikuuliza umaskini umepungua kwa asilimia ngapi huna majibu bila kusahau 70% ya watanzania hawana maji safi na salama huku wakisurvive kwa dollar 1 kwa siku then mtu anakuja hapa kuisifia CCM

Badilikeni watanzania
 
Arusha hawapendi ulaghai...
Kuna sehemu laghai kama Arusha. Wewe pengine ni mdogo sana, hebuuliza wazeewa Arusha nini maana ya MAKURDOBA, nduo utajua chanzo cha ulaghai na ujambazi, kurushana na utoroshaji wa mali za nchi kwenda nchi jirani, yote haya yalikuwa yakifanyika Arusha tokea miaka ya 70s.
 
Back
Top Bottom